@vipajivingi_creatives: 🚨⚠️ KABLA HUJA-SCROLL, SAVE NAMBA HII. ITAKUJA KUKUOKOLEA MUDA, PESA NA MAKOSA KWENYE UJENZI. 📲 +255 (0) 762 63 78 07 Kwa nini u-save leo wakati bado hujaanza kujenga? Kwa sababu ujenzi mzuri unaanza kabla hujachimba msingi. Siku utakapokuwa tayari kuanza, hutaki kuanza kutafuta kwa haraka: ❌ Nani anichoree ramani? ❌ Nani anijengee kwa usahihi? ❌ Nani anisimamie finishing? ❌ Nani ananisaidia kuchagua gypsum, skimming na rangi? ❌ Nani atanisaidia kuhakikisha idea yangu inakuwa nyumba halisi? Namba ya mtu sahihi ukiwa nayo mapema, unaanza ukiwa na direction si kwa kubahatisha. Na kama una kiwanja tayari, usisubiri ujenzi uanze ndipo utafute msaada. SAVE NAMBA LEO. 📲 Kisha ukawa tayari, WhatsApp tuandikie: 👉 “UJENZI - MAHALI ULIPO” Tuambie una kiwanja, budget na idea gani tuanze kupanga safari yako mapema. 🔥 USIHIFADHI NAMBA BAADA YA KUANZA KUJENGA. HIFADHI LEO, ILI UJENGE KESHO KWA UHAKIKA ZAIDI. 📞 +255 (0) 762 63 78 07 VIPAJI VINGI CREATIVES RAMANI • UJENZI • GYPSUM • SKIMMING • RANGI • INTERIOR & EXTERIOR 🏡 Tukabidhi kiwanja, tukukabidhi NYUMBA. 💯 #vipajivingicreatives #tanzaniantiktok🇹🇿 #dodoma #mbeyatikitok🇹🇿🇹🇿 #arusha
vipajivingi_creatives
Region: TZ
Monday 14 September 2026 08:12:34 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @vipajivingi_creatives, please go to the Tikwm
homepage.