@zaramoonlinetv: Wafanyabiashara zaidi ya 600 wanaojihusisha na shughuli za ufundi wa gereji wamekubali kuhama kwa hiari katika eneo linalomilikiwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) lililopo Temeke Mwisho, Dar es Salaam. Uamuzi huo unafuatia mpango wa kupisha matumizi mengine ya serikali katika eneo hilo. 📲 Fuatilia @zaramoonlinetv kwa habari za Tanzania na dunia. #ZARAMOOnlineTV #HabariZoteZikoHapa #Temeke #TBA #DarEsSalaam
ZaramoOnlineTv
Region: TZ
Monday 14 September 2026 08:14:17 GMT
Music
Download
Comments
SIYAMANDA :
that's nice
2026-09-15 09:11:09
0
Dee NYANDU26 :
THUG LIFE MENTALLY 💪
2026-09-15 11:18:25
0
Ťòẁñƙìđÿ Ɓox̌ëř Txž :
daaaa. yn hy maish kila sehmu mwny ela. anchukua
2026-09-14 20:07:28
7
mama p :
wanahmia wap jmn
2026-09-15 04:44:33
0
Man h :
poleni wapambanaji☺️
2026-09-15 06:18:03
3
Victoria GL :
ishajengwa icd
2026-09-14 20:59:43
4
Jo Rweyemamu96 :
waje huku Toangoma
2026-09-15 12:18:46
0
Mujmera Car point :
lini
2026-09-14 12:24:48
1
booo :
kwahiyari!
2026-09-14 16:31:14
0
Kelvin275pro :
Wanangu wachaka fupi sijui tutakutana wapi Tena @Msorld @masso
2026-09-14 20:55:05
0
hadija jiriwa :
dah...
2026-09-14 20:03:54
0
Dee NYANDU26 :
wanangu wa temeka mwisho
2026-09-15 11:18:43
0
mrishomlinde :
kwani iyo ndio mitalo
2026-09-15 09:34:40
1
D@nn Cuper :
kesho tunakuja kupakia contena apo
2026-09-15 09:36:19
1
ᎯℕℐЅℰᏆℐ ℕᎫℐᎶUℒᎯ :
huyo ni GSM kupewa eneo tu
2026-09-15 08:37:18
1
Rasedi Dingu :
majonz
2026-09-15 08:08:14
1
Smoker jr 😎 :
apo wana amishwa ili ICD zijengwe 😂😂
2026-09-15 08:27:53
0
kinyele :
huu msimu WA afroconi tutaona mengi
2026-09-14 23:02:55
0
BAFANAog :
icid hyo🤣 inajengwa
2026-09-15 07:21:59
0
R50 :
mnapisha wawekezaji😂😂😂😂
2026-09-14 21:12:54
0
Godfre :
😳😳😳
2026-09-15 08:34:58
0
jolly girl :
😭😭😭😭😭😭
2026-09-15 03:28:47
0
chadolla :
@kimnanahmina
2026-09-15 11:04:08
0
To see more videos from user @zaramoonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.