@youngsayeed: Allah amejidhihirisha Argentina 🇦🇷 bahari imekauka #dawah #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

YOUNG SAYEED 🔷
YOUNG SAYEED 🔷
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 08:15:44 GMT
59522
7530
158
241

Music

Download

Comments

muddykhan25
M"U"D"D"Y :
Allah tujalie mwisho mwema waislamu wote inshaallah
2026-09-14 09:21:24
31
kenedy.mwambegele
Kenedy Mwambegele :
kafili ni nani?
2026-09-14 08:29:05
5
phardy95
💧Fariiy🍁 :
upo morogoro Young said🤲🏾
2026-09-14 08:49:36
9
maikosaidi845
Maiko Saidi :
kwaiyo allahhh ndo kakuambia
2026-09-14 08:50:27
4
grn496
Anne :
Yesu anarudi
2026-09-14 08:44:27
2
kutespa_tz
. ꧁༺ Kûtêspä TZ ༻꧂ :
walienda mashekh kuadhini na kuswali wakaomba dua mwenyez mungu akapokea dua zao maji yamerudi
2026-09-14 08:20:52
7
cty.bby
CTY :
subhannah
2026-09-14 09:07:26
0
mkorinto2009c
mkorinto2009@c :
kumbe unajuwa ni majanga ya asili, sasa uislamu unaotoka wap apo au Argentina hamna uislamu, na vp sehemu zingine zenye majanga hakuna waislam, shida Kuna watu hamuezi kuelimisha watu waamn mungu ila mnafundisha watu wachukie dini furan na dini haitokaa ikupeleke poponi, tenda mema Amin mungu yupo hata usikokuwa na peponi Moja kwa moja, cha mixing tufundishe Zaid kutenda mema basi
2026-09-14 09:47:14
2
gidy.rostar8
Gidy Rostar✨️✨️✨️ :
ulikuwepo mbona mnamsingizia mungu jmn ebu acheni bc
2026-09-14 12:30:09
1
zuhurakeya
bi fatma :
allah atujaalie mwisho mwema
2026-09-14 11:07:50
4
phdt67
lastborn💝💖 :
yaa ALLAH tujaalie mwish mwema 🥹🥹🥹
2026-09-14 11:13:21
3
noeljunor5
noeljunor951 :
ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA
2026-09-14 11:12:09
3
dpridor_185
@dpridor~185 :
Allah Akbar naskia masheikh wamesoma dua uko...Maji yamerudi
2026-09-14 11:31:20
2
diloestanley
Diloe Stanley :
jaman maji yamesharudi nikweli yaliondoka lakini yamerudi teali maji
2026-09-14 09:02:34
2
manja14store
ManJa14Store :
kaka tuletee sana hizi n nzurii sn
2026-09-14 09:20:29
3
issa.vitinha6
Issa Vitinha :
wape dawa kaka asante sani kk
2026-09-14 10:04:55
1
user3429187021727
Alhan Okelo :
uko😂
2026-09-14 08:22:13
1
user3601874392345
[email protected] :
allahu Akbar
2026-09-14 08:44:01
1
mr..strategy.stat
mr. strategy statics :
Mungu yupo lakini hayupo kwenye Uislamu me naona Uislamu unajipendekeza kwenye majaalia ya Mwenyezi Mungu
2026-09-14 08:52:26
13
user86734919938856
12346 :
Allah akbar
2026-09-14 08:53:44
1
user9514402862297
mima beby :
mm haya mamb yanazid kunichangany mung atuepushe na adhab zake
2026-09-14 08:55:23
1
.interceptor.prayr
Interceptor @ prayrs always :
Allah Akbar
2026-09-14 09:10:18
1
mbuuu.tozzy
mbuuu :
kaka nisaidie namba yako young sayeed
2026-09-14 09:04:30
1
mr.ton790
MR.TON :
kk uko vizur
2026-09-14 08:19:53
1
youngsayeed1
YOUNG SAYEED :
Subhanaallah
2026-09-14 08:49:51
1
To see more videos from user @youngsayeed, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About