kujitakasa mbele ya mungu na kufanya Toba kabla ya kuanza Misa takatifu na kushiriki ekaristi takatifu
2026-09-14 14:26:07
61
Vice_Tz :
niishala yamajuto kwanza kabla ya misa takatifu maana sisi siowakamilifu[Pray]
2026-09-14 08:49:13
40
charming girl👌👌 :
huwe na utayali wa ibada
2026-09-14 11:02:05
12
Friend of the Virgin Mary :
Husaliwa mwanzo WA misa Takatifu ili kujizogeza karibu na Mungu ,ii Mungu aweze kupokea ibada yetu [Pray][Pray][Pray]
2026-09-14 09:04:22
16
LYZIE :
aliejikuta anasali kwa ucheshi na kwasauti ni mm jmn
2026-09-15 07:11:21
10
Mama3G :
ili kuanzadominika iliyo njema
2026-09-16 17:01:09
4
it’s mashella💕💕 :
Mungu anasema maombi ya mwenye zambi ni kekele mbele zake kwahiyo watu wasiombe lehema kwanza
2026-09-14 11:32:02
7
princess venance :
Ili kujipatanisha na Mungu Mwenyezi
2026-09-17 16:57:45
1
binaah beauty :
N kwa ajili ya kutubu zambi zetu
2026-09-14 20:02:00
2
user8461087135904 :
kwaajili yakukili.makosa yooooooote uliyotenda wiki nnzima
2026-09-14 11:24:21
4
esterpastory86 :
wiki nzima nimetenda dhambi ko lazima nijitakase kwanza kbl ya kuanza misa
2026-09-14 18:46:28
5
Deno~KD✅ :
Kujiweka tayar kwa adhimisho la misa takatifu
2026-09-14 18:36:11
5
Cotrida Michael :
Amina
2026-09-23 04:46:07
0
georgina christine :
kwa sababu ya kujieka tayari kwa misa by kutubu kwanza
2026-09-15 19:29:15
1
Flora Lenard :
Aminaa
2026-09-14 15:45:57
2
Agness Jackob :
Kwa sababu huwezi kuketi mbele ya mwenyez mungu bila kujitakasa kuungana makosa yak ndipo uweze kuwa huru
2026-09-14 18:30:58
2
Essy :
Ni sala ya kuomba toba ili kujitakatifuza kwa yale tumemkosea Mungu kabla ya kuanza misa takatifu. Tunajikubali kuwa sisi si wakamilifu, tumekosea wenzentu na pia Mungu kupitia matendo yetu, maneno na mawazo yetu
2026-09-14 16:41:19
3
Vice_Tz :
niishala yamajuto kablaya misa takatifu maana sisi siowakamilifu
2026-09-14 08:50:46
1
inno_valentine :
AMEN 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-09-14 12:26:42
3
stellz :
amina
2026-09-28 21:32:22
0
isaya :
Amina
2026-09-28 08:29:55
0
user7181124320208 :
Amen
2026-09-26 19:09:23
0
🌸Juliette baby 🇺🇬💍 :
Amen amen amen amen
2026-09-25 11:42:13
0
mekrida :
amen
2026-09-23 20:26:07
0
magdaline :
Amen
2026-09-29 05:56:13
0
To see more videos from user @oscar_mkatoliki, please go to the Tikwm
homepage.