@lausmediatz: Ricardo Momo amefunguka kuhusu sababu ya kutowapost mara kwa mara watoto wake kwenye mitandao ya kijamii, akisema aliwahi kumpost mtoto wake wa kwanza na siku chache baadaye mtoto huyo akavunjika kidole. Ricardo amesema tukio hilo lilimfanya aanze kuwa na hofu ya kuwaweka watoto wake wazi kwenye mitandao, akiamini kuwa huenda wakawa wanakutana na chuki au nguvu hasi kutoka kwa baadhi ya watu