Mwenyezi mungu ndo anajua kifo changu usitake likes kwa namna hiyo
2026-09-15 09:07:54
905
Bwāy_🇹🇿 🇯🇲 :
@⁹999⁹⁹999⁹⁹⁹
09
2026-09-30 15:51:18
0
ziyaad :
amen[Pray]
2026-09-30 12:03:51
0
Paulo Wiston :
taqbir
2026-09-28 19:53:23
0
maly🌹🌹 :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-09-15 15:21:58
346
Latifu Nayopa :
taqbir
2026-09-30 12:06:08
0
Rhommy :
manshallaah
2026-09-30 16:55:04
0
Tema :
Allah atujalie mwixho mwema inshallah
2026-09-14 11:47:21
114
ayshersima :
kwani mnashindwaga kuandika maneno mazuri mpaka unakuta mtua anassma afe kifo kibaya kwann lakini ndo quran inavyosema?? ni yapi maandiiko ya kuhukumu moja kwa moja me sio mjuzi Bali Allah ndio mjuzi wa yote.........
2026-09-15 17:29:52
172
Sammy mashishi :
Guys acheni kuomba watu mbaya dini hutakiw kufanya ivo anatoa hukmu ni Allah ww muombee Allah amuongoze ila msiwe na tabia hii yaani imekuwa km mazoea
2026-09-14 10:03:06
133
user5717437220568 :
uislam hauruhusu mtu kueka maneno kama haya
2026-09-15 05:42:26
42
𝗦𝘂𝗹𝗲𝗵𝗸𝗵𝗮𝗻 𝗢𝗴✅ :
maombi haya yakupate mwenyewe inaeka kitu kizuri alafu caption unaharibu
2026-09-19 08:26:30
65
safiaa badru 😘🥰 :
Allah atupe mwisho mwema 🙏
2026-09-20 19:16:21
34
Luhya Bashir :
kuna kitu unasahau atakaye muombea mwenzie dua mbaya bac humrudia yeye mwenyew hata mtume Muhammad S.A.W aliteswa sana na watu wake lakini hakuwahi kuwaombea mabaya kwahiyo usirudie tena
2026-09-23 16:46:38
18
Bakar :
allah atujalie mwisho mwema
2026-09-23 11:45:03
5
Rahima omar :
taqbir
2026-09-30 04:50:03
1
Maggie 💕 :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-09-15 14:46:57
9
Ai ha xaid :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-09-15 18:34:48
7
SHADOW :
atatujalia mwisho mwema waislam wote kwa ujumla amiin
2026-09-15 15:08:10
5
user9287086147163 :
Allah atujaalie mwisho mwema inshaallah
2026-09-14 11:29:31
6
Najma Furaha :
Hii tabia muache jamni 😭😭 kifo kibaya kivip sasa sijapend kabisa 😭😭
2026-09-15 08:54:16
33
Sweetiness :
sifi kifo kibaya wala nini na sishare video hii sawa
2026-09-14 11:59:05
179
Rehema Hamadi :
Na mm umenikwaxq sana subhana llaha maneno gani hayo
2026-09-14 18:07:50
15
القلب❤ :
Ila hiii tabia ifikie mahaali watu watiktok tuache hatuwezi kutafuuta kiki kupitia jina la mwenyezi Mungu ata dini yenyeewe inakataaaza kama unapost post kwa nia ya kuelimisha jamii sio kutishia watu wakupe like na sharing za lazima kisa wanahofia kifo kibaya mwisho wa kila binadamu anajua Allah 🙏🤲
2026-09-15 14:39:38
64
Bella :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-09-15 04:48:41
21
To see more videos from user @thefuture2.tz, please go to the Tikwm
homepage.