@kethucthoi19: Sự thành công và tài sản của bạn phụ thuộc hoàn toàn vào giá trị mà bạn tạo ra cho cộng đồng #dănglenguyenvu #xuhuongtiktok #truyendongluc #truyencamhung

Kẻ Thức Thời
Kẻ Thức Thời
Open In TikTok:
Region: VN
Monday 14 September 2026 09:09:08 GMT
2659
111
1
13

Music

Download

Comments

oi.phng0
Đoài Phùng :
diệu Duyên không biết được điều này phải không các bạn
2026-09-14 11:59:06
0
To see more videos from user @kethucthoi19, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Jeshi la Polisi linatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu tukio la mauaji ya mwanamke aliyetambulika kwa jina la Clementina Piusi Luzua, mwenye umri wa miaka 58, ambaye anadaiwa kuuawa na mume wake, Raphael Anatori Ulanga, mwenye umri wa miaka 60, katika Kijiji cha Mapinduzi, Kata ya Kigwe, Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa taarifa za mashuhuda, marehemu anadaiwa kupigwa kichwani kwa kutumia kitu kinachodhaniwa kuwa shoka, hali iliyosababisha kifo chake. Hata hivyo, mazingira kamili ya tukio hilo pamoja na chanzo cha mauaji hayo bado hayajafahamika rasmi. Tukio hilo limeacha simanzi kwa familia na jamii inayowazunguka, huku marehemu akielezwa kuacha watoto sita.  Selphix Media inaendelea na jitihada za kumtafuta Kamanda wa Polisi kwa ajili ya kupata maelezo rasmi kuhusu tukio hilo na hatua zinazochukuliwa na vyombo vya dola. Katika juhudi hizo, simu ya Kamanda wa Polisi ilipokelewa na msaidizi wake, ambaye alieleza kuwa kamanda alikuwa katika kikao wakati huo. Aidha, Selphix Media imeeleza kuwa haikupata ushirikiano wa kutosha kutoka kwa baadhi ya askari wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Bahi waliokuwa katika eneo la tukio, jambo lililoifanya iwe vigumu kupata maelezo ya kina kuhusu tukio hilo. Hadi wakati wa kuandaa taarifa hii, Selphix Media inaendelea kufuatilia ili kupata ufafanuzi rasmi kutoka kwa Jeshi la Polisi kuhusu mazingira ya tukio, hatua zilizochukuliwa na hali ya mtuhumiwa. Selphix Media inaendelea kufuatilia taarifa hii na itawajuza wananchi kadiri taarifa rasmi zitakavyopatikana. #fyp #dodoma #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokviral #tiktokkenya🇰🇪

About