@hubofwisdom.inc: UNATAKA KUWA MTU MWENYE MATOKEO MAKUBWA HATA UWE MTU WA TOFAUTI? Msikie Dr. Joel Nanauka akifundisha kanuni za kitaalamu za zitakazokusaidia kujenga msingi imara unakaokutofautisha na kadamnasi Usiruhusu ukosefu wa maarifa uwe sababu ya wewe kubaki chini See you at the top! ------ 👉 Tazama H.W TV kwa mafunzo zaidi kuhusu fedha, maendeleo binafsi, mahusiano na uongozi 💬 Tuandikie maoni yako kwenye @hubofwisdom.inc au tembelea www.hubofwisdom.com/media. ------- Session Credits: Joel Arthur Nanuka, Top Team Academy #JoelNanauka #ElimuYaFedha #FinancialFreedom #MoneyManagement #NidhamuYaFedha #KukuaKifedha #PersonalFinance #UkomboziWaKifedha #MaendeleoBinafsi #Motisha #Mafanikio #HWMedia #HubOfWisdom #TheWiseTZ #Wisdom #Tanzania #Kenya #Uganda #Rwanda #Congo #Zanzibar
Pesa huzungumza lugha moja tu ukiniokoa leo nitakuokoa kesho eyes on money 💰 🤑 💸
2026-09-14 15:31:57
0
JUMA KAVANGA :
shida munacho kisema na munacho kifanya ni tofaut, ninacho kijuwa mm fedha haina fomla kwa kutambua hilo mabilionea weng hawana shule na waajiliwa weng wasomi
2026-09-14 12:52:16
0
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm
homepage.