Hilo ni gari kabisa jaman ,Ila tutafute hela maana mwenye hela ananunua tu 😂😂😂
2026-09-14 17:07:31
1
maru_rashidy :
ina Tv ndani😳
2026-09-15 10:34:01
0
sanura1 :
😂😂😂😂lbd njmerogwa
2026-09-15 05:37:23
0
Calvin bk :
m9
2026-09-15 07:54:04
0
cookie 🥞🍪🌹🫦 :
Fanya m10 maana czn km unapata faida
2026-09-15 12:18:50
0
mariam :
Nikinunua hii sitakufa na mapenzi ety!!!
2026-09-15 12:22:37
0
minah❤️ :
ngoja nikazi sake pesa mwenetu🤣
2026-09-15 09:40:47
0
J7 official :
faida yake?
2026-09-15 07:32:10
0
kwigeza26 :
bro si bei ya kiwanja na boma acha basi
2026-09-14 14:40:13
1
Mr Liverpool :
mnapatikana wap nataka tatu😂
2026-09-15 04:36:04
0
kapastar :
million 7 tajir ipo mfuko wa shat
2026-09-15 11:21:52
0
bint yke baba🥰 :
posta sehem gani ili nikipita niwakwepe maana chumba au kaukumbi kangu nikadogo mno, maan kunakitanda, kabati, dressing table, jiko, vyombo, choo.... n.k, ngoja kwanza nikanunue kiwanja🙌🙌
2026-09-15 05:24:24
0
Pendo Ndoss :
nikichukua km 5 kuna punguzo?🧐
2026-09-15 06:46:35
0
Monica Suzi :
mmmh Kwan nchi 32,na 42 nishingap
2026-09-15 05:55:49
0
To see more videos from user @samsung.255, please go to the Tikwm
homepage.