@fatemagdewji: HIFADHI na SHIRIKI post hii. Watu wawili wanaweza kuwa na TZS 500,000 sawa kabisa… Mmoja akaimaliza. Mwingine akaigeuza kuwa mwanzo wa biashara. Tofauti mara nyingi si kiasi cha pesa. Ni mpango wa pesa hiyo. Kabla hujanunua stock nyingi, kufungua duka au kutumia hela kwenye muonekano wa biashara, jiulize: Hii pesa itanifikishaje kwa mteja anayelipa? Anza na ulicho nacho. Pima soko. Fanya mauzo. Rudisha faida kwenye biashara. Halafu panua. Na kama una wazo lakini mtaji ndio umekuwa ukikuzuia, soma THE LOW-CAPITAL BUSINESS PLAN. TZS 10,000 https://fatemadewji.com/product/the-low-capital-business-plan/ 👉🏽 Kiungo kipo kwenye bio. ⸻ SAVE and SHARE this post. Two people can have the exact same TZS 500,000… One spends it. The other turns it into the beginning of a business. The difference is often not the amount of money. It’s the plan for that money. Before you buy too much stock, open a shop, or spend heavily on looking like a business, ask yourself: How will this money get me closer to a paying customer? Start with what you have. Test the market. Make sales. Reinvest the profit. Then grow. And if you have the idea but capital is what’s holding you back, read THE LOW-CAPITAL BUSINESS PLAN. TZS 10,000 https://fatemadewji.com/product/the-low-capital-business-plan/ 👉🏽 Link in bio.
Fatema Dewji
Region: TZ
Monday 14 September 2026 09:13:47 GMT
Music
Download
Comments
G 35 :
asant
2026-09-15 08:29:40
1
CHENKO 10 :
perfect 👌
2026-09-14 16:27:48
1
Dully Oceanvibes🎵 :
together at the top 🎯
2026-09-14 16:31:21
1
Peter Mathias Swai :
real fact 💯
2026-09-14 19:03:17
1
fahmiamin833 :
2026-09-14 16:41:19
1
BomSWAT41 :
Tusihishie kusoma tu, Bali tufanyie kazi🔥🔥
2026-09-15 05:28:12
1
Sajjad :
awesome
2026-09-14 09:38:07
1
salahtz :
2026-09-15 07:53:10
1
OMMY KHAN :
ahsante kwa ushauri mungu akupe umri mrefu
2026-09-14 16:04:21
1
Amhadija❤️ :
Asante❤️❤️❤️
2026-09-14 09:24:38
1
gogoluxuryhub :
🥰🥰🥰
2026-09-14 12:18:48
1
Braytech solution :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-14 16:54:03
1
MRK :
🌹🌹🌹
2026-09-14 11:56:19
1
Unknown_boy🖤 :
🖤
2026-09-14 21:29:23
1
To see more videos from user @fatemagdewji, please go to the Tikwm
homepage.