@rodifelix16: 🔥 BEHIND THE SCENES: JACKIE CHAN vs JET LI 🥋🔥 Ilikuwa ni moja ya fight zilizokuwa zikisubiriwa sana na mashabiki wa Kung Fu duniani—Jackie Chan dhidi ya Jet Li katika The Forbidden Kingdom (2008). Cha kushangaza ni kwamba, nyuma ya kamera, hawa mastaa wawili hawakuwa maadui kabisa. Fight yao iliandaliwa na legend wa choreography Yuen Woo-ping, na Chan alisema kwamba alipofanya kazi na Jet Li, walielewana kwa kasi na rhythm kiasi kwamba hawakuhitaji mazoezi mengi kama ilivyo kawaida. Katika takes zao za mwanzo walikuwa wanaenda haraka sana, mpaka crew ikawataka wapunguze speed! 😱🔥 Fight hiyo ilikuwa zaidi ya pambano—ilikuwa ni kukutana kwa legends wawili wa Martial Arts waliokuwa wameingoja miaka mingi kufanya kazi pamoja. Jackie akitumia Drunken Boxing 🥴🥋, huku Jet Li akionyesha speed na precision yake ya kipekee. Na mwisho? Hakuna aliyeshindwa… ilikuwa draw! 😂🔥 🎬 The Forbidden Kingdom (2008) 🥋 Jackie Chan vs Jet Li 🔥 Choreography: Yuen Woo-ping 👑 Two legends. One unforgettable fight. #JackieChan #JetLi #TheForbiddenKingdom #BehindTheScenes #KungFu