@muntad002: kwani Hawa bodyguard wanalupwa shilingi ngapi maana jau sana ety Wana zuia tusipite njiani kisa Kuna diamond plutnumz#milionviews #frypgシ #makachu_forodhani #zanzibar #nigeriantiktok🇳🇬
😁ETY HATUNA SHOBO HALAFU TUMEKUJA KWA MAPENZI YETU😂😂😂 ACHENI SHOBO
2026-09-14 12:16:52
13
gaucho :
nakubali Ss hatuna shobo
2026-09-14 11:01:48
4
Mahir kishi :
Sahihi mulivowachana
2026-09-14 10:18:41
10
prince maulla :
mmealikwa wanangu au mmeitwa
2026-09-14 11:00:18
3
kîbwëñ@_og👑👑🌟 :
aaaah zesheeeeeeeeenn😁😁
2026-09-14 12:55:04
1
Kangaboy :
Onesmo Nae Mpole Sana
2026-09-14 12:52:51
0
Irene Uwoya :
Mlivyo Warembo Ivyo Mtampiga Nani Sasa😁
2026-09-14 14:26:45
2
Tezzer_eyes :
Hiii ndo zanzibar
2026-09-14 17:00:18
0
English_boy90 :
mbona anaongea kwa mbali
2026-09-14 16:54:13
0
Mirah :
Mda mwengine muwe waelewa na wao wameajiliwa wapo kazini
2026-09-14 12:47:45
3
Bigg Nass :
Wacheni ayo mambo jifunzeni kuwa wazalendo kukubali vyakwenu plus nyie ndio influencers account zenu viongozi kibao wanazo ndio mnaprove nini kwa wanokuangalieni yeye uyo jamaa anafanya kazi yake angekuwa jay Z mngempa heshima lakini wakwenu ndio mnamchukulia Powa tu wacheni ayo mambo
2026-09-14 13:23:24
0
shajo ⁰07 :
2026-09-14 13:12:49
0
Tajirri Abbas :
zwsheeeni aaah
2026-09-14 12:52:46
0
Officiãl Amhãr :
Mtume muhammad tu
2026-09-14 12:53:51
0
wozaaa10 :
Nakubaliiiiii uhakika sio kinyonge
2026-09-14 10:46:58
0
stuwartylasway :
shoot zikizidi ni aibu
2026-09-14 11:03:51
0
Tuddy😎 :
si hamna shobo 😅
2026-09-14 17:07:07
0
Mussa Pin Pin Vieira :
Sasa mliitwa
2026-09-14 12:16:20
0
user7370916114870 :
mumezidi kushobokea watu
2026-09-14 12:49:08
0
Its..fadman jr51.👑 :
acheni Shobo wanetu
2026-09-14 12:46:42
0
Hadija Ali :
wazanzibar hawanashob nawasanii
2026-09-14 10:54:36
2
To see more videos from user @muntad002, please go to the Tikwm
homepage.