@rfi_sw: Wakati maandamano ya upinzani yakipangwa kufanyika Jumanne hii mjini Kinshasa, tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (CNDH) inatoa wito kwa mamlaka kuwalinda waandamanaji badala ya ukandamizaji. Pia inawasihi waandaaji na waandamanaji kujiepusha na vurugu. Maandamano hayo yanakuja wakati hapo jana Rais Félix Tshisekedi aliunda kamati iliopewa jukumu la kuandaa utekelezaji wa mazungumzo ya kisiasa ambayo yanapingwa vikali na vyama vikuu vya upinzani. Kamati hiyo itakuwa na jukumu la kuandaa mashauriano, kufafanua mahitaji ya mchakato huo, na kuandaa hadidu za marejeleo na muongozo wake. @billybilali anaangazia kwa kina....

RFI Kiswahili
RFI Kiswahili
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 14 September 2026 09:47:40 GMT
3220
170
6
7

Music

Download

Comments

ruzizi.norbert.em
Ruzizi Norbert Emmanuel :
opposition niyaba rebelle
2026-09-14 10:42:03
0
user8740927469025
user8740927469025 :
merci
2026-09-14 12:33:37
0
ruzizi.norbert.em
Ruzizi Norbert Emmanuel :
sisi raiya atuki ile mandamano yakipumbavu
2026-09-14 10:41:30
0
og_black_jezus
Og_black_jëzūs :
tangazo kwakila mkongomani ambaye ni mzalendo halisi hatutaki maandamano tumeshawajuwa c64 nimamboya waasiwa m 23 hatuta kwahiyo waasi hawana uwezowaku andamanakisa kupinga raïs yupomadarakani
2026-09-14 11:52:53
0
sadiki.fidele
忠实2020 :
🤐🤐🤐
2026-09-14 09:53:10
0
user6675062384758
user6675062384758 :
😂😂😂
2026-09-14 14:56:30
0
To see more videos from user @rfi_sw, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About