I dont see anything wrong with those people. they see you as a very big potential.
2026-09-16 11:19:31
9
🇰🇪lovey😍 :
same to married people, ameoleka na anakushow usioe/ usioleke 😳
2026-09-15 09:19:08
192
️Y :
Because they're old na wanajua hakuna opportunities zingine, but wantona uko young na potential. They are usually right
2026-09-16 05:15:49
76
fluffy 🥰 :
same case [Laugh approved] mtu amekaa 27yrs nkona 3mnth eti nihame sikuzuri na hana haraka
2026-09-15 16:11:30
1
Hellen KE🇰🇪🇴🇲 :
She was the same age as my mom I took that advice serious and got my way out
2026-09-15 03:15:53
39
caren :
😂😂😂😂😂😂 I can relate from my job right now
2026-09-16 18:22:24
1
Mary Njoki :
kwanza kwa mahoteli,mtu anakwambia boss alipangi salary na yeye amekaa huko ten years🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 16:37:19
76
Hidden echo :
this me in a hotel industry nikipata any job vacancy napeanga ma co worker wa apply 😂😂😂
2026-09-16 06:23:45
8
Davie :
ama wenye wako majuu wanatuadvice tusiende ni kugumu as if wao wamekosa transport ya kurudi🤣🤣🤣
2026-09-15 17:48:05
29
Chichi💖Terry 🇰🇪 :
Kama nyumba mtu anakuambia usiingie na yuko hapo..ingia uone majini live 😂😂
2026-09-16 04:57:24
8
mutindi m💫 :
cos ashajua salary n constant n u are young
2026-09-15 13:03:14
24
Samshee :
Yeah sure🤣
2026-09-15 17:57:58
1
annwanjiru :
very true. kama mm mwingine alinishw hivyo nikatoka na hadi waleo yy bado ako kwa hiyo job[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-16 06:59:14
6
aggiegachui0 :
ata mm naambianga watu ivo nakesho unanipata hapohapo😂😂
2026-09-15 17:03:59
7
colonizer :
Nimefanya kazi hapa miaka mingi😂😂...kumbe yeye ndio chanzo cha engine kuacha kazi
2026-09-15 14:20:33
5
bbyface :
hao ni mahaters
2026-09-14 20:04:34
5
Duke Eve :
unfortunately inakuwanga ukweli 🥹🥹🥹ushaifika mahali nikama uko jela na umeshindwa kujitoa juu mushahara ni constant,workload Iko karibu na mawingu na hakuna growth 💔walae huko ctakuambia ni safe bt ukigaidi utajionea tu
2026-09-15 00:22:22
18
LydiaLydiz :
Ukweli Kabisa,,,,kwa mining watakuambia doo imepotea na wanaenda daily 😂😂😂😂😂😂
2026-09-15 09:32:16
5
kamba gal :
hapo ndipo nilipo sai but one day yenye napitia yataisha[Pray][Pray]
2026-09-15 08:27:54
6
samtoek :
🤣😂 mostly ni wivu tu ,kamati ya roho chafu 🤣🤣mwingine alaniambia hii kazi inataka mtu hajaoa ama mtu amaliza kulea 🤣🤣🤣 nkachanganyikiwa na salary ilikua poa xana🤣🤣
2026-09-16 10:30:54
1
lucyB7 :
kuna mwingine alikuwa ananishow ati pesa za huku hazisaidiangi mtu na mtu atatoka bure na ako na 23 yrs 🤣🤣
2026-09-16 10:52:35
1
Sunny boy :
Mimi kuna mmoja tangu niingie uko anashinda akiniambia nitafute Job nisiweke matumaini hapo 🤣🤣😂 mimi humjibu nishaaply nimepew 2 weeks niitwe saizi ni 2years bado namwambia nitautwa next week 😁😁😁😁😁
2026-09-15 20:50:08
1
Mercy mercie :
Same na kwenye ndoa mtu anakwambia huyo mamamkwe wako ni mchawi na yeye anachekà na wake, nonsense 😏
2026-09-16 05:15:25
3
To see more videos from user @rtvcomedy254, please go to the Tikwm
homepage.