@mohd123moman:

Wydady
Wydady
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 11:24:45 GMT
13324
402
17
105

Music

Download

Comments

fettybrand4
fettybrand4 :
Mungu aepushie mbali lnshallah
2026-09-14 13:52:56
4
sabraburhan330
Sabra :
dah huku kwetu tanga chemba zilivojaa tutanusurika na maradhi kwelii
2026-09-14 14:31:42
1
fifinaa75
Fifinaa75 :
mwenyzmungu atuepushe na mvua zeny kuleta madhala
2026-09-14 14:28:57
1
jito9262
user2979441609361 :
Ile budget Bilion 730 watugawie watanzania Hatuna mapipa makubwa ya Kutunzia Maji hatuna pesa Za kutosha Kuweka Akiba ya Chakula akipewa kila mtanzania M2 ya manunuzi inatutosha tuko million 70
2026-09-14 14:40:54
1
chris.meshack
Chris Meshack :
si tunaomba tu umeme usikatike
2026-09-14 12:46:11
1
seyonegisbang
S💖G :
Mungu wetu anaweza yote,ataepushaa hii El nino na Mungu atajitwalia utukufu na kila moja atakiri jina la Bwana
2026-09-14 14:07:47
1
jastin.johanes
Jastin Johanes :
Kikeke nakubl
2026-09-14 16:00:01
1
chapo5159
chapo :
ninunue chakula mapema isije ikawa kama Corona 😂😂
2026-09-14 14:13:22
1
elizakaringa1
eriza,karinga :
haiwezi kutokea kwajina layesu haitawezekana kwajina layesu
2026-09-14 14:10:05
0
jito9262
user2979441609361 :
na Pia Tuombe Mungu atunusuru na atupunguzie maafa tutubuni
2026-09-14 14:41:30
1
To see more videos from user @mohd123moman, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About