hz ndizo mambo tunataka sisi wanaume[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-15 02:10:35
1
Sapphiregraphix :
😂😂😂😂😂😂😂
i told you
2026-09-14 21:14:34
0
Yasinta Mbuji :
aka kamchezo sitaki mimi😂
2026-09-14 15:09:38
10
Collini godifly :
haka kamchezo inabidi kaje mpaka uku tz
2026-09-14 18:03:04
24
kelivn :
tuna pigwa sana
2026-09-14 17:16:00
5
@Sabary :
first guy he celebrating like polician winners🤣
2026-09-14 20:01:31
6
"C"H"I"C"C"O"🌹 :
mke wangu wa baadae ajiandae😂😂
2026-09-14 14:00:00
6
LAMU TAXI DRIVER :
kwani DNA bei gani tanzania 🇹🇿
2026-09-15 05:12:49
0
Nyakamata :
mnataka tuuwane sasa kwa mtindo huuu😂
2026-09-14 16:48:54
3
Liu Yu Tong🇨🇳🇹🇿 :
sas wnakmbia nin😂
2026-09-14 13:24:52
5
shisha master :
kunajamaa watoto wote wawili sio wake duuu[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-15 04:55:00
3
KINJENJE🫶 :
Hii nzur yaan naham nimuach mke wang haiwezekan mi cna nywele zakipili pila alaf wao wanaz
2026-09-14 19:34:33
2
Sia :
Haka kakija tz tumekwisha
2026-09-14 20:48:10
0
ivanateddy1009 :
wanafurahi sababu ukiwa baba wa mtoto mbele utawajibishwa vya kutosha kwenye ishu ya kukwepa majukumu na malezi..hivyo mtu anashukuru kuwa mtoto sio wa kwake alafu bado abebeshwe jukumu la kumlea..sio fair..mtu aamue mwenyewe kumlea sio kulazimishwa
2026-09-15 05:39:13
0
Nolan Joe☯️ :
lini kwetu
2026-09-14 18:27:33
2
mwana 🫣🤩 :
waje tanzania
2026-09-14 13:38:35
3
adelakomanya :
🤣🤣🤣pigo takatifu
2026-09-14 13:34:25
2
T Five :
Nani asajiri kipindi kama hiki bongo
2026-09-14 21:34:52
1
djnamoh :
hij ndo inanifanya nisimuamin mwanamke 😅😅😅
2026-09-14 19:36:48
1
Jeff Jerry :
mbona wanafurahia 😅😅
2026-09-14 19:32:29
0
Myamba :
tungejikuta wote hatuna nguvu za kiume🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 04:12:26
0
Give mbwilo🇹🇿 :
kwa nini wanafurahia?
2026-09-15 04:46:46
0
Jeykisamo :
namkubali uyo wakwanza yani
2026-09-15 05:30:13
0
Rose 🌹 :
😂😂😂😂walifata Nini huko na wenyewe
2026-09-15 05:18:13
0
To see more videos from user @goldkingdj, please go to the Tikwm
homepage.