sura siyo roho[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-07 19:37:12
0
maa G :
hongera
2026-10-08 19:07:28
0
🍃 Taro Gree Venture, 🤠🤳 :
nice, good
2026-10-07 18:37:42
0
PC :
Hongera upo vizuri sana, Mungu azidi kuinua karama yako.
2026-10-06 18:43:18
8
Kwa neema urembo :
huo mkao sijauelewa
2026-10-07 10:45:43
3
Frank Luguzura :
Sauti ya utukufu Kabisa
2026-10-05 18:46:09
18
Engineer 💎🇰🇪🇹🇿 :
Tumsaport na huyu sasa wadau
2026-10-06 18:28:12
1
Wilbrod sungura :
kuimba sio karama ni kipaji
2026-10-07 12:38:01
0
Kwila Mahusi :
pambnia Karama yka we sor mzuri
2026-10-05 06:30:33
1
TUMAINI MBEZWA :
mungu hivi unajua ninacho kiomba siku zote nipate mke mwenye Karamazov na sauti nzuri ya kuimba kama huyu dada
2026-10-06 12:27:26
1
Ester :
mungu akubaliki sana dada angu
2026-10-07 11:05:01
2
MCHAKA MCHAKA WA MAOMBI✔️ :
ivi mnakaririshwaje nyimbo nzima unaimba bila kukosea.mimi nipewe niimbe mtacheka mfe na nfufuke tena ila kuomba hata unisimamishe masaaa tisa naweza
2026-10-06 19:33:20
1
user8115791183183 :
waooooh unasauti zuri
2026-10-06 05:56:27
1
mrs david💍❤️🦋 :
mungu akutie nguvu uiendeleze kalamayako usifemoyo kpnz
2026-10-06 15:20:46
1
zawadieflaim :
sauti nzuri mashallah!
2026-10-05 17:24:27
1
MAVES MICHAEL :
wapi ulipo dada angu nambie wala usiogope
2026-10-05 22:35:49
1
agness :
Jaman wajina wangu agnes pambana kipenz unaweza sana kama mm wajina wako bado kidogo tu unifikie nimekubali ss wa kina agnes tumeitwa kwa ajili ya hiyo karama hakika mungu atusaidie sana
2026-10-06 18:06:48
2
Paul Bahati :
Waoo hongeren sana wapendwa mko wapi
2026-10-05 07:50:29
2
MG EMaa :
saf sana kipenz mung akuinue zaid ya hapo
2026-10-06 10:29:14
1
HELI DAMIANI :
hongera sana dada Mungu akupe wepesi zaidi
2026-10-05 19:32:05
2
happinessmedady2 :
wimbo umeniqusa kwer
2026-10-05 13:22:41
1
kivuruge wa ukerewe lady :
yaaan hadi na pamisi nyumbni nilivok ua naimba kwaya yangunjaman dah😭😭😭 naxhkur mungu mwez wa kumi na mbili imfika
2026-10-05 07:07:44
2
Wa Geita99% :
Amen 🙏
2026-10-06 22:00:09
2
lugwisha@ :
uko poa mdogo wana Mungu awe nawe
2026-10-08 15:07:51
0
LENATUS SAMSON :
mungu akutie nguvu
2026-10-08 18:23:23
1
To see more videos from user @juma24hungwi, please go to the Tikwm
homepage.