hii duaaa iantoaa majib haipit siku 2 uanptaaa jib🥰🥰🥰🙏🙏🙏
2026-09-15 08:21:04
1
💋Ara💕 :
Jamn hiyo dua ilinitoa kwenye maumivu na kunipa majibu jamn ninaushuhuda na hiyo dua usichoke kuisoma jmn Allah anajibu ❤️❤️❤️🥰
2026-09-15 09:06:38
1
user9474182759112 :
shukran sana Allah kwa kunionesha huyu kaka video zake nzuri za dua asante kaka nimekufatilia na nimefanikiwa Alhamdulillah wakati naletewa posa babangu hakutaka nkakutana na video zako na hii hii dua ndo nkaisoma mchumba wangu amekubaliwa na harusi december Alhamdulillah Allah akuzidishie barkah na ujuzi wako In shaa Allah
2026-09-14 15:03:43
9
abdulhalday279 :
Jazzakhallahu'lkheir..ahsant
2026-09-14 18:59:08
1
Mama Amayrah :
Naisoma hii kila baada ya swala hadi sasa bado
2026-09-15 05:56:00
1
thushebby :
Maasha Allah Tabarakallah
2026-09-15 05:43:14
1
user3615680884231 :
Allah Akbar, Allah Akbar, Allah Akbar
2026-09-14 17:00:25
4
Raifa_store :
Hiyo dua ni balaa🔥🔥🔥
2026-09-14 12:18:38
7
fernando👽 :
niliisoma hiyo wakat nko jail dubai na ilikua mwez wa ramadan nlispent kama humo ndan takriban mwaka ila akili ilipochoka maisha ya mule ndani nikamuomba ARrahman aniwezeshe ramadan hiyo niimalizie nkiwa Tanzania na nlidumu nayo kama 1week na haikuchukua zaid ya week 2 wanatangaza majina yawanayopata release alhamdulillah
2026-09-14 17:38:03
8
mis.zally💦 :
amiiin inshaallah
2026-09-14 19:54:29
2
jastf :
sijutii kukufolo
2026-09-14 20:20:14
1
Emmy :
Dua nzuri sana hii ndugu zangu
2026-09-14 20:54:13
2
mama Nawal♥️ :
nilisoma hii nikiwa leba kwa kweli nilipata wepes n urahisi mtoto nilishanga nesi ana nambia hongera umepata mtoto salam
2026-09-14 15:26:46
6
MGWANI 👑 :
Inshaallah
2026-09-14 15:10:28
2
mrs Master plan :
shukran
2026-09-14 18:56:52
1
Ayshaa@💓💞 :
Mimi Huwa sifanyagi mara mia lkn kila kwenye swala ni lazima niisome hii duaila sshv nitaanz kufanya hvy inshaallah 🙏
2026-09-14 21:28:07
2
بنت حسين :
🥰
2026-09-14 19:37:04
1
dear :
lnsha Allah 🙏
2026-09-14 16:54:46
2
Boss Mama♥️ :
hii nna ushuhuda nao alhamdulillah nlikua airport kuregeshwa nyumbani nikaiaom akw adhati n aalhamdulillah nikaelekea nlipokua nasafiri🥰🥰🥰
2026-09-14 19:44:40
2
ashakisheen :
inshallah Allah akulipe kaka ang
2026-09-14 19:24:17
1
Faidha Derua :
Toa n maana Allah akulipe kwa kutufahamisha
2026-09-14 19:27:42
1
shaniabuko :
asc
2026-09-14 16:40:13
2
To see more videos from user @abdulhamidnyota, please go to the Tikwm
homepage.