@tujijenge_tv: Inaonekana kwenye video hii kwamba roboti ameondoka eneo ambalo alikuwa akifanyiwa majaribio kisha akaingia eneo la watembea kwa miguu.

TTV
TTV
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 12:26:00 GMT
135706
4306
222
485

Music

Download

Comments

sallh02
Mariam :
jmn ajee apagawishe na maisha yangu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-14 16:45:47
1
user9955073303471
Don mapesa :
Duuuuuh alafu hii real kabsa[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-14 20:13:36
0
anne78144
Anne🦋🌺💜 :
kama roboti tu linapagawa mm nani aki😂😂😂
2026-09-14 15:08:36
116
jakayamuhidin
👣TOVA32👣 :
alk zang mish mish
2026-09-14 16:56:42
0
mushauri.wa.rais
mushauri wa rais :
which country is this?
2026-09-14 17:57:23
0
betiah08
Therealbethy🥰💕😉 :
wangapi tunangalia saa mbili usiku na wifi ya bure 🤣🤣🤣
2026-09-14 17:08:53
158
ennymgonja1
enny mgonja :
😂 wame mu heartbreak robot
2026-09-14 17:22:07
0
victornassary9gma
toxic boy💀💀 :
kumbe na robot huwa inachangnyikiwa😂😂😂
2026-09-14 15:24:34
35
irene.msafiri7
Aiem Ryn🦋 :
Marobort yameanza ukaidi mapema siyatatupora ela Haya Jmn
2026-09-14 16:53:51
26
yoramdemas515
Yora :
One day Haya yatakuja kutumliza 😂 Amin Kwamba
2026-09-14 14:52:20
42
pdid68
soni kafuku :
usikute kafumaniwa
2026-09-14 17:56:01
8
leyg87
leyla12 :
Asije akafika huku daslam[Tears of joy]
2026-09-14 15:12:06
11
kakai5160
KAKAI :
ROBOT TU LINAPAGAWA NA MAISHA NA HALINA DAMU HAYA MIMI NINANINA NISITEMBEE UCHIII
2026-09-14 15:25:46
11
nicaseyden
Uwasse🌹 :
Ila mbio za Huyu Robot jmn😂😂
2026-09-14 17:05:55
6
masa.802
Masa@14🥰 :
nalo linachokabhana hapumziki kila siku kila saa we kuweza?
2026-09-14 17:10:17
4
calmsam1
Calmsam :
Ai ndani ya AI
2026-09-14 16:00:33
7
johnmateru
john materu :
roboti imetengenezwa na mifumo alafu linathibitiwa na polisi kweli!!? kutiana hofu tu wakati wanaweza kushusha mfumo linaoutumia na mambo mengine yakaendelea.
2026-09-14 15:50:39
5
estheryothamu
Esther Yothamu :
alafu walisema yatakuja kutuua kumbe kweli kwa staili hii😂
2026-09-14 14:59:32
7
saidy.khan0
Saidy Chotara :
si wamuache tu akimbie mpaka charge itakapo muishia watamshika kirahisi 😂😂😂
2026-09-14 18:05:04
3
kananda0598
slvn🥰🥰 :
kumbe yanambio ivi
2026-09-14 16:44:01
3
momarham25
@Mom arham💙🌟💞 :
robot imetoloka hospital kwa ajili ya matibabu zaid
2026-09-14 16:47:55
1
ritter108
exavery :
yan wamesha sema AI ni mfumo unao tishia usalama wa dunia maana kunawakat AI inakugomea jambo ambalo umeiagiza ifanye na ikakataa kwa makusudi na kisha kufanya jambo lingine hii ni hatali hasa mifumo kama hii ikiwekwa kwenye silaha kwamaana inaweza kukushambulia hata wewe pindi unapo iagiza ikatekeleze
2026-09-14 15:58:27
3
colin_cyrus
Colin Dady :
robot lnambio 😂
2026-09-14 16:03:30
1
babag0445
BABA G$🦅 :
😂😂 Ai yenu iyo mneona sasa😅
2026-09-14 16:46:38
1
To see more videos from user @tujijenge_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About