@ulukbekov166: #fyp #elbruso #рек

dobry
dobry
Open In TikTok:
Region: NL
Monday 14 September 2026 12:31:01 GMT
10354
611
7
113

Music

Download

Comments

nuri.tolubaeva26
Нури Толубаева :
Таныш кочо
2026-09-14 15:40:27
0
c0ssandra__
cossandra_ :
Озум иштен чарчап журом коё турчу 😂
2026-09-14 13:03:40
1
user09s22
🚨Aikajan 09🚨 :
макул
2026-09-14 13:30:12
0
aysel77955
Aysel :
Ишаллах болот 🥰бирок озум десем😞
2026-09-15 04:48:30
0
jangirova_00
Orozo_evna00🌺 :
😊
2026-09-17 15:56:48
0
To see more videos from user @ulukbekov166, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amemtaka Mkandarasi China Wu Yi Construction kuhakikisha anakamilisha hatua ya kumwaga lami katika barabara muhimu inayopita eneo la Hospitali ya Taifa Muhimbili ndani ya siku 14, huku akimtaka Meneja wa TARURA Wilaya ya Ilala kusimamia utekelezaji huo na kuagiza TAKUKURU Wilaya ya Ilala kufuatilia kwa karibu uwajibikaji wa kila mhusika katika utekelezaji wa mradi huo. Mhe. Mpogolo ametoa agizo hilo wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa Mradi wa DMDP II Package IV, wenye thamani ya Shilingi bilioni 26.06, unaohusisha ujenzi wa barabara 16 zenye urefu wa jumla ya kilomita 7.38. Amesema barabara hiyo inayopita katika eneo la Hospitali ya Taifa Muhimbili ni muhimu kwa wananchi, wagonjwa na watumiaji wengine wa huduma za hospitali hiyo, hivyo haiwezi kuendelea kucheleweshwa wakati Serikali tayari imeshaweka fedha kwa ajili ya utekelezaji wa mradi. «“Nataka ndani ya siku 14 barabara hii iwe imeanza kumwagwa lami. Meneja wa TARURA Wilaya ya Ilala simamia hili. Pia nataka TAKUKURU Wilaya ya Ilala ifuatilie commitment hii na kuhakikisha kila mmoja anawajibika kwa nafasi yake. Baada ya siku 14 tutarudi hapa kuona kazi iliyofanyika,” amesema Mhe. Mpogolo.» Ameagiza Mkandarasi kuongeza mara moja mitambo, vifaa, wataalamu na nguvu kazi, pamoja na kufanya kazi kwa zamu za usiku na mchana pale inapohitajika, ili kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi. Mhe. Mpogolo amesema mradi huo ulianza tarehe 15 Mei 2025 na ulitarajiwa kukamilika tarehe 14 Agosti 2026, lakini umeongezewa muda wa utekelezaji hadi 16 Desemba 2026. Hata hivyo, amesema kuongezwa kwa muda hakumpi Mkandarasi sababu ya kufanya kazi kwa kasi ndogo, akisisitiza kuwa muda huo unatakiwa kutumiwa kuongeza nguvu na kuhakikisha mradi unakamilika kwa wakati. Hadi sasa, mradi umefikia takribani asilimia 55 ya utekelezaji, huku Serikali ikiwa tayari imelipa zaidi ya Shilingi bilioni 5. Amesema pamoja na barabara zote 16 kuwa zimeanza kuguswa katika hatua mbalimbali, ni barabara tatu pekee zinazoonekana kuwa na maendeleo mazuri, huku hatua ya uwekaji wa lami ikiwa bado haijafikia kiwango kinachotarajiwa. • #TZTrendsMedia #TZTNews

About