@akbarsaidy12: Maisha ya dar 😅💯#kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 @SALMAAN STORE

D͜͡s・AKBAR ❤️🎮
D͜͡s・AKBAR ❤️🎮
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 12:33:06 GMT
12125
397
32
102

Music

Download

Comments

mr.moon24
MoonCipher_ :
The traffic flow here is surprisingly satisfying to watch!
2026-09-14 20:14:34
0
nuhladh
IBN Sultan :
Naombeni boda boda wa Zanzibar waletwee huku😁😁
2026-09-14 22:19:21
1
user23627240bayuu
ManiGa Bayuu🪖✌🏼🇿🇦26 :
kuna BodaBoda uku cHanka ukimwambia saFar z uko atak at kupasikia😂
2026-09-14 21:18:26
3
defender1507
Defender🥾 :
sasa hapa reseni huwa ni ya nini surely😂😂
2026-09-14 18:47:54
3
kin_ar09
AR- :
kama bombeii
2026-09-14 19:43:56
7
rxsisu
rxsisu :
Apo mataa ya kalibia na veta pana balaa apo
2026-09-14 16:36:27
1
jamalmadaluga
jamali madaluga :
hapo usikute umepita msafara
2026-09-14 21:38:09
1
alcohocideo
Muggle :
Mkoa wa Dar wakiamua kuweka camera za barabara .... Naamini Mkoa utatajirika kwa fine 😁
2026-09-14 21:25:40
2
babilac07
Babilas :
Ukizubaa huvuki hapo 😂 😂
2026-09-14 21:27:00
1
firdalla.farsih
♓💧 Firdalla ♓💧 :
kwn mataa hayafany kazi au ni watu wanagoma kufata sheria za ayo mataa 😄😄😄
2026-09-14 17:33:31
1
lakanpubg
lakan pubg :
Duh😁
2026-09-14 15:57:38
0
smart_ink.tz
Smart Ink Tanzania :
iyo Leo iyoo
2026-09-14 21:40:47
0
muchoflaga
BU :
Dar Kama China tu
2026-09-14 21:29:15
0
thugboe45
Thugboe :
uhasibu balaa
2026-09-14 20:01:17
0
dadyoo16
dadyoo16 :
Watoto wa mr discount tunapaelew apo 😂😂
2026-09-14 20:08:55
0
6wery
6wery :
Aliyesema heee 😂😂😂
2026-09-14 21:40:31
0
user8611548566028
THE BEST JUNIOR 🔥🫡 :
boda boda wangekuwa wanakatwa pointi sijui kama wasinge fata sheria 😂😂😂
2026-09-14 20:22:28
1
introvert.nonchalant_001
27 Sep♎️ :
alf wale watoto wa nyarugusu wanaongea tu😅😅
2026-09-14 20:32:44
0
sompo1474
Tsitsitsi 🧄🍯 :
Kwetu ni inatokea kwa mda tu wenzetu India ni kila siku na wameshazoea
2026-09-14 21:09:36
0
kidotwelve
kido🦅 :
kama india
2026-09-14 20:19:05
0
yuyajr1
Yuyajunior :
hii ndo 7bu imenifnya niache ndala we kuweza kupshana ivo
2026-09-14 22:23:48
0
To see more videos from user @akbarsaidy12, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About