@wazee.wa.vizampa: #mtaanikwetu #tanzaniantiktok #viral

Wazee Wa Vizampa
Wazee Wa Vizampa
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 12:34:41 GMT
23600
1257
30
15

Music

Download

Comments

user7437209151278
Adam mange :
kuna muda maboss wanazingua simlaum apo alichofanya naelewa
2026-09-15 05:12:45
13
elishamunis719
elisha munis :
bwanayesu asifiwe wapendwa
2026-09-14 20:19:55
3
sheby_love_0
Sp kizugu 111 :
Asa kama tatizo boss siange mludishia pikipiki yake!
2026-09-15 09:43:06
3
directorkenny4
director Kenny tz :
aah boss anantafuta anataka kuchukua na anandai wiki mbili tu
2026-09-15 22:51:35
0
saramander138
saramander :
ao nd wachaw wenyew
2026-09-15 22:36:38
0
sambeta9258699230756
wiliam 32 :
dii ila maboss
2026-09-15 18:39:33
0
user3311814415961
@dg xela 👋👊 :
daa angeniunzia hata erf 100 2
2026-09-15 18:05:48
0
ramadhanimakoti41
Ramadhani Makoti :
alikuw anadaiw
2026-09-15 08:45:18
1
user3504403459515
djbentezza 255 :
maboss jau
2026-09-15 07:18:46
1
omalyscania
omary scania :
##nom@
2026-09-15 09:13:18
0
jay.moo32
jay moo :
yan bloo wangu kabisa Jana aliniamba iv jkk cocci dg HH shhgccfghzjbshsyiwbsbs
2026-09-15 15:55:26
0
ally.k4406617029861
Ally k :
bongo nimoto🔥🔥😃
2026-09-15 18:33:16
0
zogolokulu
Zogolo kulu :
Itakuwa ya mkopo hiyo
2026-09-15 13:22:19
0
onesmopatrickobed
tvs onesmo :
nakubalikaka
2026-09-15 21:42:05
0
lashidi82
HD Msaf🤑🤑 :
maboss chechemzee
2026-09-15 12:44:06
0
alfredshepherd5
alfredshepherd5 :
Kabisa maboss wanazingua sana
2026-09-15 13:26:23
0
roma58199
roma :
Mwaache achome me simlaumu
2026-09-16 01:45:53
0
113mbuziiiormbwamwitu
official MBWA MWITU # :
atajuta badae asira zikiisha alizo nazo
2026-09-15 06:29:12
0
roma58199
roma :
Me simlaumu uwenda boss kamwandama sana anamdai deni na mkataba umeisha boss anataka achukua chomba kaamua wote wakose Yani pk pk uendeshe miaka miwili boss akupokonye sio kweli Asira wanangu
2026-09-16 01:40:41
0
user399658345305mabo
Jafar :
Mimi ange ipa tu nikaauze hata chuma Cha kavu sema mwenetu 2 jau sanaaaa
2026-09-15 19:48:04
0
broken.tz
🅱︎®️🅾︎🅺🅴🅽 🆃z_🇿🇦🏀4⃣5⃣ :
na vp kuhus mda wake alioupoteza kama mfanya kaz fuck off🙏 maboss mnatuzingua
2026-09-15 19:25:57
0
b_a_b_a.alayner.o
D_A_d_y Daylan O_G :
shida nini hadi kachoma pkpk hasira hasara
2026-09-15 08:11:28
0
user5233419887318
toto pole🤪🤪 :
tatizo mabosi wanazinguwa xan me simxhangai kwa hilo
2026-09-15 18:14:21
0
hannsy..nahreel
hannsy 🔥 nahreeh :
ukute boss anamletea maseke akaona bora tukose wote
2026-09-15 11:18:32
1
doctor_starfish
Doctor Star Fish :
😂😂😂
2026-09-15 18:46:57
0
To see more videos from user @wazee.wa.vizampa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About