Allahu Akbar shukran sana sheikh Wallahi am learning a lot from ur videos
2026-09-14 14:36:50
1
KHAMIS ALI :
Thank you
2026-09-14 18:26:20
0
thusal :
2026-09-14 18:47:37
9
chocolat cake 🍫 :
asante kwakutuelimisha Allah akupe kheiri
2026-09-14 15:18:16
6
samiaa swaleh🇩🇿🇩🇿🇩🇿💞💕 :
mm mda mwengine mpka nilie ndonilale ama nipige kelele kama mwehu
2026-09-14 13:00:58
7
sikudhani sadiki :
shukran sana sheikh Allah akuhifadhi na akuepushie mabaya uzidi kutuelimisha
2026-09-15 04:24:24
2
Aunty sweety :
suratul Hashri Aya ya 21
2026-09-15 03:18:42
3
Nik :
Ustadh Allah akulipe kheri nyingi fil dunia wal akhira, hili tatizo usingiz limekua sugu kwangu in sha Allah nitafanyia kazi maelekezo yako
2026-09-14 19:52:25
1
Queen of August😋😘 :
Surat kahfi surat Hashri ayat 21
2026-09-15 06:21:07
1
madevu :
جزاك الله خير
2026-09-15 07:59:06
1
Faisal mossi :
Mashaallah
2026-09-15 05:42:13
1
Muna Love ♡︎ :
Assalamu'alaikum warahmatullahi wabarakatuh. mwenye uwezo wa kuandika tukafaidika sote tafadhali tuandikieni. Shukran
2026-09-15 02:59:57
2
Lady Mayumi🥰 :
🥰🥰Shukran sana
2026-09-14 21:40:06
1
Chique FaRhANie JR :
Najifunz meng kupitia wew shekhe mung akutunze wallah
2026-09-14 21:22:00
1
Nadir abdallah :
shukran maalim
2026-09-14 13:05:09
1
Binti jei :
hiyo nakubali Mimi sijui kusoma lakini Kuna kipindi nilikua safari Sasa huko nikapatwa na maradhi hayo yakukosa usingizi mwenyeji wangu alinikariria hiyo Aya nami nikayaandika kwa kiswahili nikawa nasoma Kila kisu basi wallahi sikujua usingizi ulipotokea kuanzia siku hiyo sijawai teseka na usingizi.
2026-09-14 19:26:32
2
Queen of August😋😘 :
Nakukubari sana Marin
2026-09-15 06:21:34
1
Aunty sweety :
suratul Hashri
2026-09-15 03:16:09
1
Munr Kibwn :
shukran saana
2026-09-14 18:18:05
1
m :
Shukran jazakallahu kheir🙏
2026-09-14 19:32:49
1
yahaya george :
alhamdulillah sifa njema anastahiki mwenyez mungu peke ake