maswali hayahusiani na kesi ya Lisu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-15 04:23:29
18
homeboy :
kwani hii inahusiana na nini kwenye hii kesi au unataka kututoa kwenye reli
2026-09-14 18:04:48
63
therealsk91 :
Cross Examination 🔥 🔥
2026-09-14 21:46:23
5
🦅 :
maswl mengne nanyamaza
2026-09-14 19:43:20
8
steven_begge :
duh...kama movie
2026-09-14 23:07:18
3
Johnson Kajumuro :
duhh kumbe maswali haya huwa yanaulizwa hivi sasa kwakupanic kwangu sijui hata kama ntaweza
2026-09-14 20:47:07
26
Galaxy :
maswali gani hayo sasa wanauliza
2026-09-14 20:50:04
13
Daniel leshijah :
hii inchi iko na shida sana sasa hii maswali yote ni ya nini viongozi mabeberu 😭😭😭 🇹🇿
2026-09-14 18:47:52
19
ABDUL :
INAONESHA FIKA MASWALI YAMEANDALIWA NA CCM
2026-09-14 23:52:53
10
@VIPOST :
aya maswali yanahusiana nini na kesi kutoka kwenye kesi ya uhain adi kununua jezi ya Arsenal
2026-09-15 05:46:23
14
Yusin Nifty :
mahakamani mfano ukiwa na kesi na baba yako,anakuuliza unanijua,unamjibu ndio nakujua,anakuuliza unanijuaje,unajibu wewe ni baba yangu anakuambia unajuaje kama mimi ni baba yako,anakuuliza maswali mpaka anaweza kukuuliza nilifanyaje fanyaje mpaka nikawa baba yako!
2026-09-14 21:58:29
16
vikooo :
[Tears of joy]
2026-09-14 20:24:06
2
Nelson :
Hayo maswali ni ya cross examination...
2026-09-15 06:19:10
5
sopha mlenga :
heche kazi anayo
2026-09-14 21:43:50
7
wineshayo515 :
mahakamani sio vacation APA sielewi hata kidog
2026-09-15 07:10:01
5
Ibrahim rassa :
bado mtu hata baskel anawachangia watu wenye magari wameshakuwa wabunge
2026-09-14 19:43:32
6
thebestcollection6 :
kiukweli mahakamani pasikie tu ndomana watu wanatafuta wanashelia yeye aongei kitu 😂😂
2026-09-15 05:06:15
6
RHOBBYSON JR :
Sasa nyie hamjui baba ake Heche alikua ni tajiri mkubwa sana
2026-09-15 04:32:01
6
Musa Yusuph :
Kwan heche ndo mshtakiwa au ni Shahid
2026-09-15 03:07:49
6
eliya 👑🤝 :
mbn mm sielewi
2026-09-14 20:53:20
6
yass :
Jamani itabidi muwe mnaenda mahakamani ili mjua watu huwa wanahojiwaje...hii ni kawaida sana, ndo maana unaweza ukakuta case ndogo Ila inaweza kwenda mwaka mzima
2026-09-14 21:51:00
7
redchris16 :
kesi hii itaendelea kutufundisha mengi sana na kuona makosa mengi sana yaliyopo kwenye sheria zetu za kimahakama
2026-09-14 21:40:00
7
saantz :
Loo mmmmmmh mwemwe m m m mh
2026-09-14 18:57:47
7
COMMENT SECTION :
hapo ndio utofauti WA mwanasiasa na mwanasheria hapo Heche atulize akili Sana [Innocent][Innocent][Innocent]
2026-09-14 20:20:42
6
Janelle :
wabunge wote wa ccm wote wanamiriki mari nyingi hasa lakn mtu anamiki vit vyakawaid tu wanamuekea kesi
2026-09-15 21:19:03
0
To see more videos from user @mtyama3, please go to the Tikwm
homepage.