@trtafrikasw: El Nino inaendelea kushika kasi katika Bahari ya Pasifiki na kuwa tukio la hali ya hewa lenye nguvu zaidi, huku Umoja wa Mataifa ukionya kuwa inaweza kuvuruga kwa kiasi kikubwa viwango vya joto na mvua duniani kote. Ikichochewa na hali ya joto isiyo ya kawaida ya maji ya bahari, athari zake kwa hali ya hewa zinaweza kuendelea hadi mwaka wa 2027.

TRT Afrika Swahili
TRT Afrika Swahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 12:52:18 GMT
126045
6502
94
594

Music

Download

Comments

giftedsonm
Gifted :
Bring it on we are ready if we die we die😎
2026-09-14 15:30:30
3
emmanuelsebastia66
Young E :
iyo ya dunia ila TZ tuna dunia yetu mtuache.. God anatupenda sanaaa
2026-09-14 13:28:14
134
stevenkimaro8
kim :
May God guide us🥹
2026-09-14 13:11:45
0
sacha.67_mwalimu
SACHA ♎ :
nina laki 3 yangu benki goja niile tu🥺🥺
2026-09-14 16:54:42
33
asantee58
Asantee :
God is greater😁
2026-09-14 20:10:06
0
cefalexin8
cefalexin :
hiyo elnino ikuje Sasa 🥰🥰
2026-09-14 16:45:05
18
bixxtech
Bixx Tech | Gaming Pcs | 🇹🇿 :
“The boy”
2026-09-15 19:12:22
0
drantlove770
Drant love :
Allah atunusuri inshallah🙏🏽🤲🏻🥺
2026-09-15 13:12:05
3
marconicholaus223
Marco Nicholaus :
afrika nisarama hataiweje
2026-09-14 19:02:54
4
user819965981013di
Dr professional k said :
waroongo sana hakunna
2026-09-14 13:23:44
5
lucy251323
lucy :
Mungu alieyeumba mbungu na dunia akatutetee
2026-09-14 19:41:33
8
khadijajuma433
khadijajuma433 :
Allah Akbar khusnilkhatima Yarabbi
2026-09-15 16:26:12
3
user81747681905001
user81747681905001 :
haijii
2026-09-14 15:43:34
1
isakamsalila
Eagle Master 🦅 :
Mungu yupo pamoja nasi
2026-09-14 13:25:19
4
mkwayu05
Mkwayu :
hakuna Kitu bwana acheni kuleta taharuki Kwa wananchi ✌️🚶🏾
2026-09-14 17:54:00
2
bintmohammed89
Bint mohammed :
Mm sina iman kbs na hili jambo kwan naamin hakuna kiumbe mwenye uwezo wa kuona mambo yajayo is pouwa Allah peke yake
2026-09-15 09:56:54
2
neema.ngowi61
Dr Ndessa124 :
Mungu tuepushe na haya majanga
2026-09-14 14:55:53
5
romiothomas
Romio alonso omar :
wewe iyache ije tu maana zambi zimizidi sana naomba ije Tanzania
2026-09-14 18:38:44
1
influencer_ricch
Ricch Magar used TZ :
nlikuja kugundua kua Africa ndo Eden ya zaman
2026-09-15 13:35:33
1
jaysson885
Seeker :
Navuta tafakuri, Hivi milipuko tunayoishuhudia Sasa huko mashariki ya kati Haiwezi kuchagiza badailiko ya hali ya hewa na kupelekea ongeseko au kuipa nguvu vipindi kam hivyo? km vinachangia, Je Dunia inachukua hautua Gani kusimamisha hayo yanayoendelea?
2026-09-15 07:21:26
1
veerh168
shubi🦋 :
jmn naomba tofautinya el nino na mafuriko😳😳
2026-09-14 15:49:57
1
aplonia.kamata
Aplonia Kamata :
Duh mbona "KASHESHE" MUNGU Akatutangulie na kututetea yeye mwenyewe kwa akili zetu na nguvu zetu hatutaweza
2026-09-15 19:59:41
0
babyney808
Babyney ❤️ :
Mungu wa Mbinguni akawe nas nakuondoa hofu ndani ye2 tuna Imani na Mungu we2 atatulinda Daima🙏🙏🙏🙏
2026-09-15 21:17:13
0
migambimaan696
migambimaan‼️ :
Elon Musk hataweza kuziwia hilo jamani?
2026-09-15 22:56:06
0
To see more videos from user @trtafrikasw, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About