hapa na garden darajini 🥲allah atunusuri na safari zetu za kila siku😭
2026-09-14 16:06:39
37
hidayasalum0 :
watu wakiambiwaa watowe sadaka wanaona kama pesa zako zitakwisha hatimayake ndio hiyo hawajuwi kama sadaka inaepusha kila balaa najanga ambalo linataka kukufika
2026-09-14 20:52:27
28
mr hau 26 :
faya wazembe kweli
2026-09-14 20:26:06
6
7udhefa_ :
Allah haondoi kitu ispokuwa huleta kitu badali yake 🥰subra tu
2026-09-14 21:22:31
9
Mariam Omari :
wap hii
2026-09-15 05:21:36
1
cute_maliha :
ilikuaj at ikawak ivoo
2026-09-14 20:23:48
3
Majaliwa Shopcaretz🇹🇿 :
faya inatakiwa waboreshe huduma zao za zarula
2026-09-15 06:22:56
3
haji masawe :
zimamoto huwa wanakuja tukio limeisha
2026-09-15 04:41:50
2
Binsuleymani :
fire wako slow dadek
2026-09-14 20:11:41
3
$()N M@N M@N!G€R :
gar y wap io 😯
2026-09-14 19:50:46
2
Mulikiya :
innalillh wainnaillah rajiun mungu ampe subra mwenye gari yake na wahifazi wazee wetu na ndugu zetu wano hangaika kila sku makazini
2026-09-15 03:39:17
5
Hamis Masud :
sas ilo gari la fire linafanya nn apo
2026-09-14 20:24:17
1
Kassim Selele :
ah kwakwel yaani faya sijui ata wanakaz gan ah
2026-09-15 06:45:55
0
Hannu🥰🍓🍍 :
hapo ndo mtu utaona umuhim wa fire extinguisher angekua nayo basi isingewaka hivi, sema kwa tz sio kila mtu anae jua umuhim wa fire extinguisher, nina uhakika daladal karbia zote hawana na so daladala tu hata prvt car.
2026-09-15 11:47:14
0
Said binyuu :
mungu mkubwa
2026-09-14 20:52:07
1
Shaimaa :
SUBHANALLAH
2026-09-15 05:53:13
1
mr.p :
imetokea lini hii
2026-09-15 04:53:07
0
Zaituni Mahamuod :
iyo kwel au edit t
2026-09-15 06:20:17
0
khairat fakih :
muclaumu iyo kadar imeandikwa imfike mmiliki
2026-09-15 06:07:29
2
cutyledy :
mulikua hakuna watu ndani
2026-09-14 19:49:01
2
jmo :
Hapo Fire wanahakikisha gari yote inateketea ndo watazima😂
2026-09-15 10:22:42
0
user26131481007861 :
duu
2026-09-14 21:16:07
1
To see more videos from user @mr.nature.bite, please go to the Tikwm
homepage.