@alreyamiytz: #creatorsearchinsights #socialmedialikesandfollowers

خلفان 🇹🇿
خلفان 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 13:35:25 GMT
5892
601
30
13

Music

Download

Comments

fahmiysaidfahmiy
Blegedia so Og Homa :
Mungu amekupa hekma na manen ya yalokua Yana ishi hapa dunian I new brother thank
2026-09-14 13:47:36
5
dulla.mohamed5
dulla mohamed :
ni kweli hakuna 🙏
2026-09-15 07:18:01
0
ssnakhkhalb01
......01 :
mjomba unanikusudia mimi lkn mimi nimeanza 0 nimeuza maandazi😂😂
2026-09-19 21:13:07
0
kingalbusaidy
kingalbusaidy :
shekhe hee nimeilewaa kabisaa hakika Naam wazee wamagumash
2026-09-14 20:04:32
0
jumail_twh
Jumailtwh :
….🤝swadakta akhuy🤲🏻
2026-09-15 05:15:43
0
muzahimfruit5gmail.com
Muzahim Abdillah.🦅♥️ :
imeelewek akhiy
2026-09-14 18:15:50
1
3m2751
3M :
No no 😂
2026-09-15 02:44:48
0
user8463220591731
[email protected] :
nifumbo lakin kuna hekma kubwa sana 🥰
2026-09-15 13:10:18
0
user82256824466507
nayfaa :
exactly 💯
2026-10-03 23:53:02
1
zayn_unqbackup
zayn_unq✨️ :
ubakhiri nao kipaji watak uwe na moyo mgum kam jiwe
2026-09-19 09:06:00
0
shamamuna
shama@muna :
MashaaAllaa ❤️❤️❤️
2026-09-15 07:36:36
0
shaadyjay
shaadyjay :
nikweli kabisa Allah atupe salama 🙏💚
2026-09-15 15:57:42
0
user11171039081836
Véro okito :
mimi n'a elewa kabsa .kiukweli mimi niyatema wamaman n'a baba alafu.nime baki. namyaka mitatu..tu kiukweli nime ona mambo mengi sana nime Anza.tafuta..maisha..bado..mdog o sana sasa nime.zoeya mateso.sana.njokwa.ma.ana.sipendi.mtu.kucheza.nama.isha.yangu
2026-09-23 13:20:26
0
alhajnaiman
Alhaji :
BIG YES ngoja nkufollow
2026-09-15 04:29:37
1
najma.rajabu3
💞 ms nana🌸 :
Kwaiy unapaswa kuwe bahiri😳😳😳
2026-09-14 13:40:46
0
rayyanamour98
Rayyan Amour 💞 :
🙏🙏🙏
2026-09-17 15:04:01
1
munirazizi96
Akhy__Munir :
💯💯
2026-09-19 10:17:02
0
shamamuna
shama@muna :
❤️❤️❤️
2026-09-15 07:34:32
0
tuhamimi3
Tuha :
🥰🥰🥰
2026-09-15 04:40:20
1
hawacollection111
hawacollection111 :
😭💔
2026-09-14 14:45:50
0
official.swaty.my
official swaty my :
[Gesture OK][Gesture OK][Gesture OK]
2026-09-14 16:18:00
0
asha.rajabu501
Asha Rajabu :
🤲🤲🤲
2026-10-08 20:01:30
0
alwattan.20
Alwattan 20 :
Mashaallah Allah akubar Bro 🥰🥰🥰 🤔 Hekima ya mzee inasema hivi kwa ufupi Watu wenye pesa ni aina (3) tatu 1. Mrithi: Ameikuta mezani, hajajua uchungu wake. Anaitumia hovyo. 2. Mwizi: Amefika juu kwa njia za mkato. Pesa yake ina harufu ya dhambi. 3. Bahili: Anaishi kama masikini afe kama tajiri. Pesa inamtawala yeye. 🤔 Na kiini chake ni hapa🥰🥰 👉 Wewe uliyeanza na SIFURI, uliyeshona viatu, hawa watatu hawawezi kuku elewa. Mrithi haelewi kukosa nauli, mwizi haelewi jasho halali, bahili haelewi kugawana kidogo ulichonacho. Mzee anakwambia :Usijilinganishe nao. Safari yako ni ya aina ya 4 ya kupambana kutoka chini. Endelea kimya kimya, utamu wa mafanikio yako utakuwa mkubwa zaidi kwa sababu utakuwa na kitu wao hawana: HEKIMA na UTU. 🤔 Dah ! Ni fumbo lkin ndani yke pia muna ujumbe mkubwa sana Allah akubarik Ya akhyi Habib
2026-09-14 21:18:29
6
To see more videos from user @alreyamiytz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About