@emmanuelsayi47: Ukimya wa mwanaume ghafla hizi ni sababu zake #emmanuelsayi

MWL. EMMANUEL SAYI
MWL. EMMANUEL SAYI
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 13:50:13 GMT
134790
3503
125
175

Music

Download

Comments

luckydeamy3
LuckyHamcy :
atajua mwenyew bhn
2026-10-31 19:43:39
1
freshiawangui261
Freshia Wangui :
wangu ameninyamazia 3weeks
2026-10-02 06:38:24
0
sarahedward387
sarahedward387 :
mimi wangu siku ya tatu leo amekaa kimya kwaiyo nimtafute au??
2026-10-22 08:20:10
2
careen056
careen :
m saiv nimejichokea litajua lenyew
2026-10-31 19:57:02
4
happy.matulo9gmail.com
Happy Matulo :
mwanaume wangu.yuko ivyo nimeshazoea ata sim anakuwa apokei adi apende kunitafuta
2026-10-02 00:20:47
8
esthersengassu
Esther Sengassu :
mimi ukishanikalia kimya,,nikalaa nikiamka naamka na akili nyingine mpyaaa,yaaan nipo hvyoo
2026-09-30 22:58:42
4
monii0968
Monii cosmetics 🥰 :
mwanaume wangu ndo yupo hivo kwa sasa sijui sababu ni Nini 😭😭
2026-10-22 14:38:10
0
yusuu.01a
Aposiano 01A :
kaka mbona unaniongelea vile niko Kwa kipindi hiki
2026-10-17 03:13:55
3
fatumamohamed114
Fatuma Mohamed :
Mi wakwangu naona kiburi tu,
2026-09-22 22:01:56
9
nana.lee422
nana Lee 💟 :
mimi akikaa kimya akae milele kuniweka kwenye mawazo sitaki
2026-09-15 06:12:59
8
suuh8799
suuh 💚💙 :
umechelewa sas asha kula block
2026-11-02 12:57:42
3
subiraemmanuel6
sumgy🌺baby💕💞🌹🥰😻 :
jaman ulikuwa wapi kunishauli mi nimesha halibu huku😳😳😳
2026-09-29 21:23:45
0
anethnickson11
AnethNickison :
🤣🤣🤣🤣 nisamehe mi siwez kukuelewa
2026-10-04 10:12:31
4
amangel0592
amangel0592 :
uyu ni wangu kabsa😏😏😏😏
2026-10-04 21:40:21
3
irenepau
pretty jewel🥰❤️💋🦋🔐 :
naona hizo zote 3 anazo na zinanikela nimemuacha aendelee kukaa kimya tu
2026-09-28 20:27:51
4
antiwaoman7
Fatma :
Akikaa kimya nakaa kimya tena nasonga mbele hasira zake asinletee mie, staki upuuzi
2026-10-14 15:52:59
1
nenoh916
Nenoh🥰💋Dorcas🥰 :
ok aja niongoje basi🤣🤣🤣
2026-09-24 17:53:12
3
anneth.chami
Anneth Chami :
💯👏 nikweli kbs kaka yamenikuta
2026-10-04 20:15:08
2
user65976700531951
Béni Akim :
mm Nae nikiwa na shida ata mpenzi wangu simkumbuki🤣
2026-09-20 01:54:44
0
tinnahtarimo336
Precious Tarimo :
why nishamchok na hayo mambo mm wangu hua anakaa kmny HD siku akiwa n shida atakutafuta balaa
2026-10-31 19:48:48
1
nurvent1
sashavent.1 :
atajua mwenyew
2026-10-31 03:54:02
1
user27463663313965
UKHTY SARAFY🥀🌹🍂 :
wangu kaoa MKE wapili ila naona sio sababu ni majuku yamembana hasa kifedha
2026-10-04 06:51:04
1
stelaslaagmail.co
🚶‍♀️🚶‍♀️ :
Mtajua wenyewe
2026-10-14 09:39:18
1
lnannie02
Annie♥️ :
soon anaenda kunipoteza🤦
2026-10-24 09:49:53
1
user6157180104325
user6157180104325 :
hapana anamwanamke mwengine banaa
2026-10-24 17:58:49
1
To see more videos from user @emmanuelsayi47, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About