Nyie wasambaa Mbona kila siku mnagombana mna nn jmn🤣🤣🤣
2026-09-15 06:04:30
4
kaniki :
kaka umekosea sana wasambaa hatupo ivo muombe jamaa msamaha hata kama unachuki nae unatakiwa ustiri wenzio
2026-09-18 17:09:50
2
Answary :
Mmefikia huku wanangu
2026-09-15 11:48:46
2
KAKA KASSIMU🇹🇿@gmail.com :
point kaka
2026-09-14 14:10:05
3
SHEBUGHE Family 💯❤️❤️ :
aise mim mtu Ambae na muelewa na timu yake ni Omar fadhil dai nidhamu inatawala anatuwakilisha vizuri washambaa Tz weka kopa hapa kam unamkubali Fadhil dai na timu yake