@dr_daniel_md: 🐍🦂 Ukipigwa na kiumbe mwenye sumu, usifanye haraka bila kujua! Kuumwa au kuchomwa na kiumbe mwenye sumu kunaweza kuwa hatari, na hatua utakazochukua dakika za kwanza zinaweza kuwa muhimu sana. Katika video hii nakuonyesha mambo ya kufanya, mambo ya kuepuka, na wakati gani unatakiwa kuwahi hospitali. 👉 Usisubiri mpaka hali iwe mbaya—jua cha kufanya mapema. #DrDaniel #Afya #HudumaYaKwanza #Sumu #SnakeBite
Mtoe mgonjwa eneo lenye hatari, mvue vitu vinavyobana (kama saa, pete au viatu kabla ya kuvimba), mtoe hofu ili atulie, weka kiungo kilichong'atwa katika hali ya utulivu bila kukisogeza (immobilization), na msafirishe haraka kwenda kituo cha afya kilicho karibu
2026-09-14 15:06:00
9
clen furniture :
maelekezo mengi alafu point ya kinga akuna
2026-09-14 16:35:20
3
halisi :
yani ata moja ujamalizaa vidio imeoshaa jaman🤣🤣
2026-09-17 06:17:17
1
joeburton :
ivi dokta nyoka wa sumu akikung'ata kichwani unajifunga wapi?
Elimu ya Shule ya msingi enzi ya Nyerere darasa la tatu ilikuwemo hilo somo; mgonjwa afungwe kamba eneo kidogo juu ya pale alipong’atwa io hatua ya kwanza ya papo hapo then akimbizwe Hospital
2026-09-16 10:11:06
2
Sharl fastion :
Huyo mgonjwa alikaa na sumu kw muda gan mpk madhara yakafikiaa kias hichoo
2026-09-14 15:59:21
0
big dada :
tumefundishwa shulen 1990 sijasahau mwalim alisema tukaulize wakubwa somo liliishia mtu aking'atwa shingoni je tufunge kichwani au shingo nasubili jibu dr
2026-09-14 15:38:57
4
Fina Henry :
nilingwatwa na nge kwenye kidole gumba masaa 24 ili sum isitembee na maumivu walisema yataisha masaa 24 na kweli ndio ilikua nafuu yangu....ASILI UPONA
2026-09-14 16:17:16
0
jojo :
doct nyoka ni nyoka
2026-09-14 17:41:28
2
J_J :
huyu ni daktari au content creator? mbona post inaishia njian alafu maneno yanajirudiarudia??
next time sijichoshi kusikiliza
2026-09-14 16:42:12
3
Mo :
well said
2026-09-14 14:32:41
3
Rogers Mlelwa :
nakukubali san kaka unakitu
2026-09-14 14:36:45
2
marselinarweyemamu :
Dr unaongea sana mpk haufiki kwenye mafundisho. muhimi c utuambie tu Nini kifanyike
2026-09-14 16:40:09
1
An accoutant :
fact
2026-09-17 19:20:06
0
pili :
Huwa nakukubali sana doctor, big up
2026-09-17 16:46:18
0
Chibo Water :
we unatuchoma
2026-09-17 16:39:10
0
mzinza :
aweee, nyoka ni nyoka TU lazima ukaze
2026-09-17 16:59:38
0
Cute_Reey❤️ :
vile vitabu vya sayansi darasa lanne kumbe walituongopea,, maanatuliambiwa uduma yakwanza kufunga kamba😏😏😏
2026-09-17 12:50:59
1
Jackie❤️ :
Hadi nyoka wa kijan hana sumu??
2026-09-17 19:13:15
1
To see more videos from user @dr_daniel_md, please go to the Tikwm
homepage.