@bongofive: Mwanamitandao @hb_square_2 amempigia Simu Mama yake mzazi ili tu kuthibitisha kuwa yeye ana pesa. Kuangalia mahojiano kamili tembelea ukurasa wa YouTube Bongofive amefunguka kwa Imeandaliwa na @abbrah255 @samirkakaa

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 14:25:34 GMT
357606
27636
538
220

Music

Download

Comments

user1090311469476
Erick msafi :
WAKRISTO WENZANG TUMSIFU YESU KRISTO 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-14 21:27:36
154
silvanus.petersilvanus1
vanrth🌹4rv💕 :
walahi sio mama ake
2026-09-14 15:08:00
198
benitosanga97gemail.com0
Benito :
mi nikajua mamilion kumbe eh
2026-09-15 03:14:07
57
king_boe01
kingboe :
Uzuri mbinguni kuna tv kubwa tutakayoonyeshwa kila kitu😂😂mbinguni tutajua kila kitu😂😂
2026-09-15 08:30:55
50
user6581481724185
my s@rah❤ :
laki na 30 ata mim mama namtumia sasa iyo nayo ela ya kuringishia mtandaon hushmb t
2026-09-14 15:23:21
43
cute.light3
lightness ❤️ :
unajitofautisha na mwanadamu wakawaida kivip jamn🥺
2026-09-14 17:20:55
28
tavishptfml
Jay future :
baaaasssss mzee yuko wp😂😂😂😂😂
2026-09-14 20:04:19
15
zikiiboy0
zïkíï boy :
am from Kenya nataka dem kutoka Tanzania
2026-09-14 17:37:19
18
aishayohana775
Aisha :
ata mm sikumbuki hela niliotumiwa na mpenz wangu 😁😁😁😄
2026-09-14 20:26:30
7
happymwaisumo29
lusajo mwambungu@ :
mim wazazi wangu nimewajengea nyumba ya bilion2.3 na huwa kila mwisho wa mwez nawatumia laki8
2026-09-15 09:37:53
9
mekavil_fix
Mekavil_shot_it :
nipo kwenye interview tv😂
2026-09-14 20:54:31
9
sykaizzo.james0
Sykaizzo James :
Laki na 30 ndo ndo unamuuliza had kwenye media je mm nilie mtumia laki na nusu
2026-09-14 16:16:48
46
dossa.tz
Dossa tz :
uyo sio mama ake amini nakwambia
2026-09-16 06:45:35
0
elizabethkiondo83
lizzykiddy :
Nikajua 1m and300k
2026-09-16 05:05:50
0
winnfrida.bruno
Winnfrida Bruno :
mfipa weeee🥰
2026-09-17 04:44:37
0
mwakaniki
Mr mwakaniki :
sio mama yake
2026-09-14 14:46:33
16
aliera306
Aliera 💦💫❤️ :
kwahiyo saa sita usiku only 😂ok.
2026-09-14 17:27:12
11
utamaduni45
Ofsa utamaduni 45.🫡 :
bab yupo wapppp
2026-09-15 17:58:07
0
luhembwe02
l'un de ponda🇨🇩 :
lakini laki ndo tunaona hela sana daah maisha ya mitandao shida
2026-09-14 15:17:43
13
anko_praise
Anko praise :
mbona mtoto mwenzie
2026-09-14 19:18:14
5
hinjuabdallha
🦋🌲꧁HINJU꧂🌲🦋 :
sio mama akee
2026-09-14 20:11:29
8
user164386392
cute girl 🥰🥰 :
nikajua milioni 5[Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-09-14 19:51:37
5
busongokshija0
busongo_kaseka :
130 mbona pesa ndogo ivo ambayo watu kila siku tunatuma
2026-09-15 15:22:07
2
user8178843391180
Tina Msusi :
mbona kama mke wangu
2026-09-16 06:03:22
2
monira.binti.juma
Munira :
Naomba niwe mke wake
2026-09-15 09:04:17
1
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About