Nilitaka nishangae Yani ushone suti mpya usijirekodi 😂😂😂😂
2026-09-14 20:29:56
713
stasia❤️❤️ :
😂😂😂😂😂 jaman wana coment section naomben msome search bar🤣🤣🤣🤣
2026-11-05 19:53:55
0
Tresa Queen :
ulivyo Anza nikajua Traffic 🤣🤣🤣
2026-09-15 01:21:06
231
ollie💞 :
me nlimwambia ukiwa free utanitafuta toka tr 10 mpk leo hayupo free😂😂😂
2026-09-14 15:21:14
225
Tatu Aden :
Mimi ndo mwanasesere mwenyewe😂😂😂😂
2026-09-14 16:59:02
83
𝑫𝒊𝒄𝒌𝒔𝒐𝒏 𝑴𝒐𝒎 :
hii nayo inachoma kuliko pass
2026-09-14 15:05:07
92
Vira banks🦋🌸_-❤️🔥 :
Asa ndo usemee awatutakii kwanguvu ivooo jmn😂😂
2026-09-14 15:07:03
87
𝐟𝐞𝐫𝐲𝐨𝐟𝐟𝐢𝐜𝐢𝐚𝐥 :
nimeipenda sana iyo suti
2026-09-14 15:19:14
83
𝒜𝑔𝒶𝓅𝑒🪽 :
Nlie kwa kukaa au kwa kusimama 🥹
2026-09-14 20:28:30
16
Ms. Sally🦋 :
Umeniponya🖐️☹️🤚, kweli mimi ni kajinga, mxiuu.
2026-09-15 22:20:53
16
ALYA🌹🌸 :
Ukijua thaman yako hutakaa ukang'ang'ania mtu kubaki kweye maisha yako wakijupunguza punguzika mwisho wanarudigi wenyew
2026-09-16 06:54:56
8
user9688290888182 :
jamani hii inatutesa sana khaaa upo sahihi
2026-09-15 05:21:47
9
happness :
hakika umevaa nini lakini my love
2026-09-17 06:21:54
6
am_dijah🤍 :
hili limeniumiz sanaaa mm kam mwanasesere🥲
2026-09-15 10:22:38
7
Kemmy Rwechungula Francis :
Mimi nakutana na Yesu Kristo inanitosha..!
2026-09-15 05:43:37
8
أو أسماء يا حبيبتي �🤍 :
TWENDE MBELE TURUDI NYUMA AU BC TWENDENI TU MBELE ILA SITAKWIIII
2026-09-15 05:35:20
16
ana pere :
nilijua mchungaj wa siloam
2026-09-14 17:39:31
56
🍫🍫 :
😂😂😂 hii aina comeback
2026-09-15 10:43:21
7
nyoctz😊 :
ilaaa nikwaaambie nanii😂😂🥰
2026-09-14 15:24:47
10
💞💞princess ney💕💕 :
asantee kwa kuniambia ukweli toka asubui nampigia apokei cm jion kapokea kasema halo tu simu ikakata na piga hapatikaniiii ila mungu nakuomba tu nipenguvu ya kushinda hili
2026-09-14 15:07:57
59
Lily Ashiel :
utazoea na utapata bora kuliko yeye mamy
2026-09-14 18:19:46
13
Mon dee🌍 :
hatimae nimefikiwa😞
2026-09-14 15:07:49
22
To see more videos from user @hakikaruben, please go to the Tikwm
homepage.