@bongofive: Mwanamitandao @hb_square_2 akiwa na mahojiano na Bongofive amefunguka kwa kiasi anayoyajua kuhusu Chief Godlove huku akidai kuwa hana maajabu wasiomjua ndio wanamuogopa. Kuangalia mahojiano kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongofive Imeandaliwa na @abbrah255 , @samirkakaa
Bongofive
Region: TZ
Monday 14 September 2026 14:35:01 GMT
Music
Download
Comments
Izzy boy :
Kukutana nae kimwili au?
2026-09-14 17:36:58
34
user978088783659 :
wamekutana posta
2026-09-15 07:08:34
13
~its_nokem 🐐 :
aaha sawa kmbee
2026-09-14 22:57:45
5
ommy g mwanyax :
kumbe, aaah sawaa😁😁🙌
2026-09-14 21:19:01
5
ULAYA SJ :
sasa hapo tushakuelews
2026-09-24 08:47:05
2
Kidume toka Kyela :
uyu nani kwani
2026-09-16 19:53:53
0
Kiifaru Jboy :
wamekutana kimwili sio
2026-09-14 22:15:05
5
𝗖𝗛𝗜𝗘𝗙 𝗕𝗢𝗬𝗞𝗛𝗥𝗘𝗦𝗔 :
Sawa
2026-09-14 15:11:03
6
PRISCILLA🦋 :
mbna wanafanana
2026-09-18 20:51:20
1
Dastan JR :
Ok poa
2026-09-14 15:59:19
5
𝐄𝐃𝐃𝐘 𝑩𝒐𝒀💫✅ :
suseme kweli
2026-09-14 17:20:19
6
Fabrice molah :
kwakweli akumbe huyo kijana anaakili sana sana
2026-09-15 04:28:38
4
💰💰 JoSePh 255 :
wanaosema ni uwongo tujuane
2026-09-16 19:18:19
1
GodfreyTowo :
hatuna midia
2026-09-15 01:40:08
2
Müssa :
Kukutana nae kimwili au?
2026-09-15 11:25:04
2
user7771006347162 :
uyuuu dogo namkubali sna anajua kuongea anajiamin sna
2026-09-18 15:59:36
1
@messiah king 🤴 :
kwenye chama cha chief uko😂
2026-09-16 04:18:04
1
frankphilipo04 :
mm nimependa gari lko jeupe cjui ni zx au xr
2026-09-17 16:05:05
1
abbasiamiry :
hiyo ni guvu ya pesa na jicho la tatu ,kampeni ya chief god love
2026-09-15 00:55:05
7
Jack boy :
2026-09-15 08:12:47
1
Liziwan Liziwan Liziwan Liziwa :
9
2026-09-14 17:17:03
3
Moetz :
2026-09-15 07:36:06
1
CHIEF MAGEMBE :
SAWAAAAAAAA
2026-09-14 15:27:55
4
De stopper :
ok poa
2026-09-14 16:45:07
1
jinevajully7 :
Afu Huyu nae😂😂
2026-09-14 19:52:37
1
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.