@intelligencefx: Hivi umeshawahi kujiuliza kwa nini elimu ya kunavigate mtaji haikupewa kipaumbele kama elimu nyingine? Wakati hapa ndipo kwenye pesa yako hapa ndipo utatengeneza utajiri wako au umaskini wako Everyone talks about making money no one talks about utaiweka wapi salama zaidi. Is it brokerage…? Is it prop firm…? Na kwa nini uchague njia ipi? Nini cha kuzingatia kwenye njia yoyote utakayochagua na kwa nini uzingatie? Yote haya ni kabla hata hujaanza kuongelea risk management. Hapa IFX 2026/27 Bootcamp tumeyaongelea yote haya kiundani Welcome to the professional side of trading.

IntelligenceFx
IntelligenceFx
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 14:48:08 GMT
8502
329
6
4

Music

Download

Comments

tanocean3
Tanocean :
twende pamoja mkuu
2026-09-14 15:39:09
1
s.a.n_c.r.y.p.t.o
SAN :
Hata kama haujaweza kufanya Market analysis, unakuwa sio beginner??
2026-09-14 16:28:07
0
rojahsaidy0
Gatexy🤞🏻 :
natamani ningekuwa kwa hii bootcamp but imekuwa nguma ,I decided to learn myself my fellow beginners tukutane OCTOBER KWENYE LIVE TRADING, here we gooo
2026-09-15 16:59:10
0
zain_byte
Zain_Byte :
🔥🔥
2026-09-15 06:05:37
0
To see more videos from user @intelligencefx, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About