Dada mm nataman kujifunza edit video plz help me mdada
2026-09-14 20:08:49
1
chimbolamashukadodoma0 :
Hiyo color unapataje ??
2026-09-14 15:45:21
5
Abaya and Hijab store :
Hyo features ni kwa pro au ipo hata kwa free users??
2026-09-14 15:43:12
2
nicey🇹🇿🇺🇬🇰🇪 :
kwenye capcut?
2026-09-14 21:15:06
2
sweyatv :
dada nitumie namba yakonya whaspt
2026-09-14 15:06:33
4
BennyClassic🛍️ :
app gani
2026-09-14 16:57:10
2
PROPHET MIRACLE'S MWONAJI :
naomba kujifunza
2026-09-14 19:51:57
0
Majesty mk :
2026-09-14 15:26:09
1
Lizzie.collection🌸🛍️ :
Nicheki basi jamn,me nakucheki sms zinagoma nataka kujifunza
2026-09-14 15:09:55
3
Windowseven :
sio ya kulipia?
2026-09-14 21:41:46
0
barakamwakapesa :
mm apa
2026-09-14 17:44:47
0
B White Njau :
jaman mambo wangu
2026-09-14 21:20:02
0
j :
tatizo iyo features ni pro ya kulipia
2026-09-14 19:47:24
0
sweyatv :
nataka nijiunge kwa group nijifunze
2026-09-14 15:07:19
5
🧿🧿Crushbaby🧿🧿 :
nifundishe shoga
2026-09-15 01:30:49
1
boy👨 aimable 💔 :
mimi nataka niku owe kwani una mutu
2026-09-14 21:09:35
0
SokaZone_tz ✅️ :
Waambieni Watu ukweli kwamba ukitumia hizo Fixture za CapCut sauti itasikika kama upo kwenye Chumba tena Chupa Empty au kama vile unaongelea kwenye Karai. Waambieni watu Ukweli sio Mnaangalia Maokoto tu. Hakuna Ujanja hapo nilazima uwe na Microphone, au earphone wire yenye Noise Cancel. Tatizo Mnaku waongo hamuwaambii ukweli hao Beginners [Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL] Mnaanagalia Maokoto tu!!!
2026-09-14 21:27:32
0
Miss Tech 🇹🇿 :
🥰❤️🔥
2026-09-14 16:35:05
1
MZUNGU COMEDIAN :
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌹👍
2026-09-14 17:53:23
0
Arif tairah :
😁😁😁
2026-09-14 21:07:20
0
To see more videos from user @ziruni, please go to the Tikwm
homepage.