@newsupplements: #newsupplements #tanzaniatiktok

NEW SUPPLEMENTS
NEW SUPPLEMENTS
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 15:10:00 GMT
44797
582
24
348

Music

Download

Comments

allyswalehe785
Ally Swalehe :
je zinapatikana wapi
2026-09-14 17:40:24
2
victormathiascharles
Victor Mathias Charl :
mwanangu ana umri wa miez 10 ameanza kukataa chakula naweza kumpa? ila hiyo ya kutafuna na hana meno inakuwaje
2026-09-14 16:04:15
0
marry.chimomy
marry chimomy :
znapatkana wap jaman naitaj niwape wanang
2026-09-14 21:14:12
0
alpham1210
alpham :
mambo yasiwe mengi,,weka bei
2026-09-14 23:11:08
0
veronika.mwenda8
Veronika Mwenda :
omega 3 vitamin ni shingapi
2026-09-14 18:05:12
0
cpt_komba_jr
Cpt Komba Jr :
Kwa hiyo ni supplement...Kumcha Bwana tupa kule sio?
2026-09-14 17:08:37
0
zayfarhan
zayfarhan :
mm nimempa hiyo omega 3 je naweza kurudia tena alitumia vidonge 60
2026-09-14 21:07:44
0
bupe870
BUPE :
je mtoto wa umri gani ndo anatakiwa kupewaaa
2026-09-14 16:49:48
0
christina.mhami
Christina Mhami :
sio wot wanajua kngrz mwe matumia nanikiswahiri
2026-09-14 17:47:33
0
user3061250572592
G_muisrael 🇮🇱 :
unauza kiasi Gani?
2026-09-14 20:33:21
0
nichopapadax
Moddynicho# :
Kwanini mnazuia watu ku downloan ili tutunze mafunzo yenu wauuuzi sana kumbe
2026-09-14 19:05:49
0
gladnessmomlaura
Laura moses😘 :
Mimi mtt wangu ana miaka 11 au ndo nishachelewa
2026-09-14 20:07:26
0
kimtikimti579gmail
[email protected] :
naomba namba zenu za simu tsfadhali
2026-09-14 16:35:59
0
user8459950574210
user8459950574210 :
kwahiyo anatakiwa atumie kitu gan kwa watt waliofika miaka 10 na kuendelea
2026-09-14 17:15:09
0
mamoh_2
Queen_ladymomo :
mm nauza dawa yn pharmacy mbn hy dawa omega 3 zp za wakubwa nakila nikuliza baby akuna nyie mnazitoa wapi
2026-09-14 17:55:27
0
husna.marizwa
husna marizwa :
hio mulitivitamin ni ile ya vidonge vyekundu au
2026-09-14 16:28:59
0
user8619184444938
Flora✨ :
❤️❤️❤️
2026-09-14 18:05:27
0
lucia.magumba
Lucia Magumba :
😳😳😳
2026-09-14 21:35:21
0
To see more videos from user @newsupplements, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About