Usisaidie watu hawa
Ni bora kuogopwa kuliko kupendwa kama utashindwa kua vyote viwili
1)Mtu wa mikosi au matatizo yasiyoisha
2)Mtu asiyeridhika kamwe
3)Mtu mwenye wivu anaejificha Kwa tabasamu
4)Mtu anaetumia huruma kukutumia
5)Mtu mwenye kiburi asiekubali kujifunza
6)Mtu anayerudia makosa yaleyale
2026-09-15 07:56:02
0
To see more videos from user @afyanasauda, please go to the Tikwm
homepage.