mdogo angu hata sisi tulikua na moto kama ww miaka 8 iliyopita tulijiona wanajeshi tulivyorudi mtaani ila nilipigwa ngumi 1 palee kitambaa sinza hadi leo mm ni raia mwema 😂😂sio service wala nn
2026-09-14 21:44:38
735
user4020720857961 :
we mbna nzur wew
2026-09-16 00:55:46
0
Tz🇹🇿🇹🇿 :
Ukifirwa apo ooh nmefirwa😂😂😂😂
2026-09-15 14:11:49
137
L.O.L.L .Y. 🤎🦋 :
Ukute ni K.O 🤣
2026-09-14 17:18:30
206
Tumain Gr :
wnmeku love!
2026-09-15 21:20:57
0
Janeth Thomas140 :
Tumwambie au tumuache[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-15 06:24:02
38
KING TX👑♣️ :
Sina mazoez ila huyu anipigi 😂😂😂
2026-09-14 23:11:35
167
Shariff Bashiri :
kwel skiba haiyozi leo ndo nmeamini 🤣🤣 respect
2026-09-15 00:52:15
1
Jerry10vera :
Content safi bro nitakufollow kesho nashiriki tendo la ndoa
2026-09-14 18:32:19
138
GodSon⛓️🛠️ :
alaf sio jeshi la akiba bhana..We ni jeshi la kulijenga taifa,jeshi la akiba waachie mgambo
2026-09-14 16:14:46
75
Nado_designer🛍️👗💥 :
Hii video tutakutunzia 😁
2026-09-15 05:47:59
26
𝓜𝓮𝓭𝓲 𝓵𝓸𝓬𝓪𝓽𝓲𝓸𝓷🙃 :
mnaotupa foil barabarani punguzeni pili pili mtakuja kuniuwa 😁
2026-09-15 03:04:54
37
juniormathias :
huwezi nipiga hata kama nimetoka kuamka
2026-09-15 14:23:03
8
kababa Antony :
Hivi ukitaka kuowa mwanajeshi unafuata utaratibu gani
2026-09-15 09:00:09
14
chau kddy :
mbna ww mrembo mwaaaa
2026-09-15 03:16:25
3
samwel mwakalinga :
Sawa, ila naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mweny nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman
2026-09-15 12:24:13
11
Big daddy :
wanao sema kazuri gonga like
2026-09-15 17:49:13
7
Hermancaesar_79 :
Sisi kama Raia wa akiba tunaangalia hii clip yako huku tunakucheka😁😁