@bbcnewsswahili: Je, mshahara mkubwa unaweza kumzuia kiongozi kula rushwa? Singapore inaamini hivyo ndiyo maana inapanga kuongeza mishahara ya viongozi wake, huku Waziri Mkuu Lawrence Wong akitarajiwa kulipwa hadi dola milioni 2.8 za Marekani kwa mwaka. Lakini swali ni je, kumlipa kiongozi vizuri kunatosha kumfanya akatae rushwa? Mwandishi wa BBC @scolarkisanga na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fypシ゚viral #foryou #uongozi

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 09:00:00 GMT
41035
1868
26
23

Music

Download

Comments

alvind21tz
Alvin D21® :
Singapore president
2026-09-15 09:10:55
5
mushauri.wa.rais
mushauri wa rais :
which country is this?
2026-09-15 10:28:22
1
wiseman.0104
🇵🇸 :
Wanasiasi mungu anawaona
2026-09-15 10:17:30
2
old_boy199_
Old Boy :
ni heri mshahara uwe mkubwa wa wazi. kuliko wengine ambao wanafisadi matilioni ya fedha za walipakodi kila mwaka.
2026-09-15 10:14:35
3
aluna.ngelezya
Aruna Aruna :
jamanilikuwa nawaomba iletaarifa yahabar yasaa 21.muwemnsposti nahuku
2026-09-15 10:15:22
3
kalamwanda
Ngoci ngoci :
Kumbe must go alitaka hivi 🤣🤣🤣
2026-09-15 14:02:13
0
bamdogopeter
🔥Blade🔥 :
But anastahili juu kazi yake nzuri
2026-09-15 12:31:30
0
careen897
Skudu wa mchongo :
Rais wa malaw Je😳
2026-09-15 10:59:24
0
user61826133875905
RUHIN_HEALTH_CONSULT :
No 1
2026-09-15 09:05:27
1
meshar768
Meshar :
wanalipwa kila mwisho wa mwezi au wanalipwa kwa mwaka?!
2026-09-15 11:38:04
0
infinity_motors__
infinity_motors__ :
Na ikitokea nchi yenye haitaki wanachi wajue mshahara wa Raisi kwani kuna ubaya??
2026-09-15 13:32:00
0
moseswhite819
Moses White1 :
nibola akalipwa mshaha mkubwa kuliko wanao lipwa kidogo kisha wanawaibia wananchi wao
2026-09-15 11:28:11
0
kijiko_2
maxvita :
nice
2026-09-15 09:02:02
0
nicklodydairys
Nick Lody Dairys :
nilijua Tu Singapore si kuzuri vile niliskia kasongo akisema tunaenda uko😅
2026-09-15 10:21:05
0
pacome.zouzoua39
pacome zouzoua :
naskia hapa kwetu 97,000,000
2026-09-15 11:28:30
0
user2875781184638
martinez :
waziri wa singapore ana fundisha tabia mbaya africa utaskia nao wanapanga kuongeza mshahara
2026-09-15 09:53:36
0
vj_collection1
V J COLLECTION :
Mimi hapa raisi wa Mawinga nalipwa dollar💰 billion Moja
2026-09-15 09:50:25
0
of_ivan08
Mr Kompa👑 :
duh
2026-09-15 09:43:39
0
euginejuma361
Eugine Juma :
ruto tutam
2026-09-15 09:43:03
0
yussuf.kalou
Yussuf Kalou :
rushwa haina bwana
2026-09-15 14:18:20
0
giftedsonm
Gifted :
ungetupa wa Africa Mashariki
2026-09-15 13:45:56
0
dhimusha
Dhia muhammad :
😳😳😳👍👍👍
2026-09-15 09:49:03
0
himbrayant_01
himbrayant😔 :
😂😂😂
2026-09-15 09:51:03
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About