😂😂😂😂😂 hiyo ndio the heart heart patient huwa hawaheal
2026-09-15 22:24:06
3
Farida Clegg :
African mothers can torment 😂
2026-09-16 08:00:36
6
Empress wa lion 💕💕💖 :
umenikumbusha ya nini na vile nmejaribu nlikua na heal 😔🥹🥹🥹
2026-09-14 16:40:52
196
annyanne771 :
arafu anakuekea food unakula,anakuekea maji ya kuoga,,,,,sasa hapo Kwa kuoga ndio kichapo kinakuangukia
2026-09-14 17:38:39
191
Royal👑 :
Let me tell you Maina 😅😅😂😂😂
2026-09-14 16:12:00
52
kijohlove ❤️💕 :
sai hajaniongelesha siku tatu, nimelima Hadi shamba ya next year 😂
2026-09-15 04:28:49
122
Queen Maribel 👑 :
mwendo umeumaliza🤣🤣🤣🤣
2026-09-14 16:14:50
78
Marializz :
alafu akuambie karibu muheshimiwa😂😂just know ur cooked
2026-09-14 17:27:37
63
بلال :
Anassume huexist😂
2026-09-15 21:19:55
1
ki Money 💲🤑 :
hata hakuattack, Unafell ku disappear
2026-09-15 21:21:52
2
fine gal 🥰🥰 :
Na hii yenye amekuambia osha sufuria na hukuosha thn kufika shule unapata ile sufuria alikuambia osha Iko kwa bag 💔🤣🤣🤣🤣
2026-09-14 17:40:12
40
David Kagiri :
hio n heaet fearea
2026-09-16 18:07:41
1
@hiver78 :
😭😭😭mama yangu... eiiiy 😂😂😂
2026-09-14 16:15:20
39
Kush🫶🖤 :
imagine she said welcome back miss' water or juice 😭😭😭😂😂😂😂😂
I was like am done today 😔🥹😭🙌🏿
2026-09-14 16:36:35
24
5 reading 🥰🥹🔐 :
Weeeee Alf anaimba ukiongea kitu hakujibu Alf ukifanya kitu unasikia ety wacha🤣🤣🤣🤣🤣💔💔💔🤣🤣💔
2026-09-15 17:09:53
16
Dougiednc "naftaly efb :
na karibu mzee wa nyumba , umetuletea nini😂😂
2026-09-14 19:01:15
5
keshi💫keshi❤️ :
aty kukosa kuongelesha ama kupewa jicho tu 😂😂
2026-09-14 17:35:58
5
Shiro shiks🥰 :
Alafu unaskia ..akisema naona mweshimiwa naona ndio unarudi 🤣🤣🤣
2026-09-14 17:50:27
7
ekkioko :
halafu she's singing an old gospel song... my friend, the ancestors are creating space for you at that point🤣🤣
2026-09-14 19:12:15
12
Vaanygashon back .up :
I don't even yo imagine what will happen coz who is my mum💔😂😂😂
2026-09-14 16:17:13
6
Meshaack :
ama upate wanafanya na yule mdogo ako akimuambia tufanye tu tuwachane na watu wanaona wamekua wanaume, na ukijaribu kumwongelesha wananyamaza wakikuangalia tu.. ni mbaya nakuambia😂😂😂
2026-09-15 16:46:55
13
Nyamo@Mustavar💫 :
Halafu ukijaribu kumsaidia kufanya anakuambia acha tu,wewe kaaa na anakua serious kabisaaa ukae 😅😅 walaiii mih huchanganikiwa 😂😂
2026-09-14 19:12:25
6
brianmawira13 :
supporting young creators
acha nilike sasa
2026-09-14 16:16:41
15
To see more videos from user @neutral_nikki, please go to the Tikwm
homepage.