@shamour_tz: TUNAENDA KAMA YAMOTO BAND WAKUCHEMSHA 🤣🤣🤣🤣 @da_ruu007 @Cole bebe @diddy_j123 BILA KUSAHAU GARI YANGU NIMENUNUA @mtashi_motors 🔥👌 @mtashi_motors NDIO SEHEMU PEKEE UTAKAYO WEZA KUPATA GARI BORA NA IMALA 🤗 KARIBU @mtashi_motors @mtashi_motors LAAAVEEEUUU 😘

shamour
shamour
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 16:17:35 GMT
611736
69314
2353
1599

Music

Download

Comments

user32735994960185
oo :
tushachlewa hawaponi tena hawaa😆
2026-09-14 16:52:28
411
user2623788429762
IBRAAH ALUMINIUM :
wajinga wenzangu ndoo wanaweza kumaliza video nzima
2026-09-14 20:07:48
786
rahmaommy0
Princess Ommy👸💫💥❤️🤍🩷 :
HUWEZ AMINI NIMEANGALIA ADI MWISHO😁
2026-09-14 17:24:08
1061
_uswazivibes
𝗔𝘂𝗰𝗵𝗼👑 :
KAA MBALI NAMII😂😂
2026-09-14 20:42:30
172
nancydecute
nancydecute🦋❤️ :
Mkubwa na wanae kaona isiwe tabu acha niwapishe 😂😂😂
2026-09-15 15:21:54
53
hellenajoseph11
Helln❤🦋🤍 :
Hello doctor wmeanza tena 😂
2026-09-17 09:33:46
35
sayunisteven2
SAYU.the therapist🇹🇿💜 :
Mkubwa na wanawe 😂😂😂
2026-09-14 17:15:39
55
kijukuu440
KIJUKUU OUTFITS STORE 🛍 :
Ndio natoka jela wakuu , hawa ndio yamoto band 🔥😂
2026-09-14 20:56:26
28
therealhabby12
The real habby 🇹🇿 :
Niongee Kwa kusimama au Kwa kukaa 🤣🤣🤣
2026-09-14 18:57:40
42
marthaliymo5
bint sengiyuva 🇧🇮🥰 :
umefurah sas pak nimejikojolea 😀🤣🤣🤣
2026-09-14 16:39:47
51
alex.mzambuli
Alex Mzambuli :
♑:ukiingia TikTok unaeza sahau kama umepanga na kod inakarbia jmn mwee😂😂😂😂
2026-09-15 08:06:54
18
_glitch_bloom
شزم🌸🦋 :
shamour urudishwe milembe ty maaana🤣🤣🤣🤣☺️
2026-09-14 16:35:02
79
theodorah.david
Theo msusi :
Mmenikimbusha mbali mm na wenzangu tulikuwaga tunafanya huu upuuz 😭😭 mwingne alitangulia mbele za haki mwingne alishaugua macho akawa kipofu kila nikisikiaga hiz nyimbo naumia sana 😭😭
2026-09-15 05:55:09
5
canyiiiii
Ms natty🇷🇼 :
Ndomaan nikikosa bundle naumwa🤣🤣🤣
2026-09-15 06:09:33
28
missynaiy
Naiy💎🌹 :
nlichogundua mjini njoo na nguvu akili utazikuta huku huku😂😂😂😂😂😂
2026-09-19 12:05:18
5
usersaumusar_leh
@sumy🌹 :
tunao ona kwa mara ya kwanza
2026-09-16 05:29:40
9
chidy_bo3
Chidy :
hii ata yamoto wakiona watashangaa sana🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 05:54:31
5
crazy_efootball00
Crazy_Efootball001 :
Hivi nguvuu ya kutoa content kila siku mnaipata wapi wakati taifa linaidaiwa QWILION BILWIONII MIAA ..😂😂
2026-09-15 13:21:38
17
user9554139545931
D_money💵 :
mkubwa wao alivyoona mambo yanaanza kuchangamka tu kaamua arudi nyuma msije mkampush kwa hilo vibe[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-15 08:23:03
20
kusigwa25
Hamida hamad :
shamour ww unacho tufanyia na ya moto band nizaidi ya burudani .mungu akuweke sana kwa ajili yetu .maana🙌🙌
2026-09-14 17:03:20
39
fridayfuturetechn
Friday Future technology :
shamour kashajiamulia mambo uku😂😂😂
2026-09-14 16:39:40
20
florenc0507
Florence :
kazini chizi nyumban Mama ndio hii sasa. 😂😂 good luck my beautful galz🥰🥰
2026-09-14 22:49:07
16
pistar233
pistar233 :
Hallo ameanza tena
2026-09-14 20:59:24
12
cute_baby2606
@CUTE BABY🥰 :
nilichogundua furaha yangu nikiwa na bando🤣🤣🤣tyu kwisha😂
2026-09-14 18:46:55
7
To see more videos from user @shamour_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About