@taki_blood_nutrients: Vyakula vya kuzingatia kwa mtu mwenye ugonjwa wa kisukari. 🥗🍎🥑 Inasisitiza kula vyakula vyenye lishe kamili kama: 🥬 Mboga za kijani 🍏 Matunda yenye kiasi cha sukari 🌾 Nafaka zisizokobolewa 🐟 Protini bora 🥑 Mafuta mazuri 💧 Vinywaji visivyo na sukari 🚫 Vyakula vya kuepuka Kwa mtu mwenye kisukari, ni muhimu pia kufuata ushauri wa daktari au mtaalamu wa lishe. Karibu kwa ushauri zaidi 0723732169 #lishebora #tiktok #disease #fyp #taki_blood_nutrients