@nacmedia: Gwaride la Sherehe za Kuhitimu Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa vijana wa kujitolea wa Operesheni Nishati Safi pamoja na vijana wa mujibu wa sheria wa Operesheni Linda Amani, limepamba sherehe hizo wakati wa kutoa heshima kwa Mgeni Rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Joachim Nyingo katika Viwanja vya 834 Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Makutupora, Dodoma. #nigeriantiktok🇳🇬 #kenyantiktok🇰🇪 #Trending #tanzaniantiktok🇹🇿 #viral #siasa #wasafitv #juxpriscy #nacmedia #ethiopian_tik_tok🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹
safi hii program kila mwananchi anatakiwa apitie japo miezi mitatu tukae sawa kama nchi
2026-09-14 19:12:22
12
_.kida_freeze._❄️ :
nikikumbuka 830kj op nishati safi paredi nusu niache ndala mamae😂😂🔥
2026-09-14 19:38:16
5
patrick :
hakuna mafunzo ya vijana jkt tanzania vijana wanaiva wanajua kama makutupora dodoma hii ni kikosi tz we acha haitatokea mpaka hata miaka 30 ijayo pale ni jeshi kamili
2026-09-14 19:12:14
4
𝗖𝗛𝗜𝗘𝗙 𝗔𝗡𝗡𝗘𝗫 :
Najivunia vijana wangu wamekomaa nimefundisha zaid ya vikosi 9 ila hichi ndio furaha yangu🤝🤝
2026-09-14 19:50:46
1
Betuel :
834 operation miaka 60 ya jkt😅
2026-09-14 19:54:38
1
bonny_tech_fix :
tuombe mech yankirafiki hapo sasa
2026-09-14 20:09:18
0
theoexplorer1 :
Drone
2026-09-14 19:15:42
0
Simba 10🔥🏐 :
mbn wameivaa Hawa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-14 19:34:16
4
wazoh mameen :
ni moto
2026-09-14 19:40:00
0
engineer🇰🇪🇹🇿 :
Hawa wameivaa haswa
2026-09-14 18:45:04
3
Zuhura Idd :
nilipenda san jesh hata leo wakisem niende sijal nyuma yangu,,ni kitu nilichokipenda toka niko shule ila ndo sikufika.
2026-09-14 20:05:52
1
samb :
hapa Kuna Wana wakasome
2026-09-14 19:27:47
2
Salehe jumanne :
nmefulah san
2026-09-14 18:27:23
2
Mama it’s :
Regu na singe Makutupora 2000 hatari nimefurahi kuona inadumishwa 🥰🥰🥰
2026-09-14 19:04:32
1
Miss kaela :
singe chini ya mkali magangaaaaa hatar sana 😳😳😳
2026-09-14 20:50:24
0
Man fashion tz :
cjui kwann nlienda nikawa KO 😭😭 ujuaji ukizid
2026-09-14 21:31:00
0
To see more videos from user @nacmedia, please go to the Tikwm
homepage.