@sultan_al_harthy:

AL HARITHY👑
AL HARITHY👑
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 16:51:34 GMT
15549
1375
51
137

Music

Download

Comments

chala.baby22
Mamy t :
Katk siku umeongea pumba nileo na kukupenda kwangu kote
2026-09-15 07:55:59
5
user2133014144950
@ummy ima :
anaekupenda atakuowa na hatoangalia watoto kwani watoto mie wameniganda mie nina watoto na kilasiku natakiwa bado moyo wangu kuamua nani awe mume wangu sina haraka
2026-09-14 23:28:09
5
mamamusujjada
aisha :
wapo shehe wanaume wanaona mwanamke wenyewe watot.
2026-09-15 11:37:47
1
user021317969
Madeko :
ila una kosea sna wallah
2026-09-15 07:03:02
0
nasraamiri318
Ukhuty Naa :
Mh Yan Nkubali Kuuliwa Kisa Watoto Weeh Shekhe Ww Atatokea Tyuu Atakaenipenda Mm Na Watoto Wangu Uhai Haununuliwi
2026-09-15 05:33:46
3
smy2813
smy :
watu wanapendwa vizuri na kuolewa hata wakiwa na watoto wao
2026-09-15 03:32:00
1
user9530619530424
Mamamii :
Shehe hapo umetukosa mbona tunapendwa sana tu
2026-09-15 08:11:27
1
user9704697281692
user9704697281692 :
ata sisi atutak wanaume wenye watoto 😅😅
2026-09-15 03:36:04
3
zaituniathuman425
ZaituniAthuman :
kumbe ndo maana mnatutesa kisa watoto mnajua hatuwezi kuolewa? hapo umedanganya
2026-09-15 07:27:28
1
maulidiiiii0783
Dunia sio kitu inatuada tuu :
mim natk Tena ndondoa yangu ya Kwa Wana mahana awo sana
2026-09-15 13:29:44
0
thelastcrazy02
Riziki Massoud :
mm nadai talak 7bab mume ananitelekez kis mke mwengine mwak mzim hanipitii nishachok
2026-09-14 19:47:06
1
user2123924351318
user2123924351318 :
subhanallah
2026-09-15 12:28:17
0
manilatran
manilatran837 :
inshallah
2026-09-15 06:47:51
0
ada.mtoto.jr
Ada mtoto jr :
kaka hv navichukuaje
2026-09-14 17:15:59
0
hilwabamasry1
hilwabamasry1 :
hata mungu aliwajua km hamtosheki kwa mwanamke mmoja ndio akawaruhusu 4 ili mkawasiri hakusema mkaoe mtoto wala mjane shekhe kuachika inategemea kwa kosa gani hakuna mwanamke anaeta kuachika shekhe
2026-09-15 07:32:57
0
zaituniathuman425
ZaituniAthuman :
na watoto mbawatelekeza wenyewe
2026-09-15 07:28:03
0
zaituniathuman425
ZaituniAthuman :
hapo shekh hatukukuelewa
2026-09-15 07:26:16
0
ashamohamed2277
Asha Mohamed :
kwelii
2026-09-15 06:56:00
0
joycemahundu
Joyce Mahundu :
kwakweliii
2026-09-15 12:13:01
0
user2133014144950
@ummy ima :
namie mke wa mwanzo nimechoka kwa mambo mengi na nimetaka kuachwa mwenyewe kwa hiari yangu nimemuwachia yeye akae afaidi limbukeni wa ndowa kaachwa kwa mumewe kaja huku kakuta maisha ya watu kafanya lakufanya nimempisha
2026-09-14 23:30:06
0
shymaa805
Shymaa :
Na Mwanaume alieowa Akazaa na akaachana na Mkewe mwenye Watoto km Wote, Nae Wanawake wasikubali kuolewa nao😂😂😂
2026-09-14 23:09:51
1
tuma._delicious
tuma._delicious :
Hiyo mifupa ni mitamu hamujui tu
2026-09-15 13:57:12
0
biyam51
biyam51 :
haya mambo yapo tusihukum kama shehe kasema pumba baadh ya watu has vijan wa sas ndio manen yao hay wanasem hawatk USED mungu atupe hifadh na waume wa kher inshaa allah
2026-09-15 09:03:47
0
mosi8221
Mosi :
hukufuru lakini
2026-09-15 11:03:16
0
To see more videos from user @sultan_al_harthy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About