@lamamademiliano: Una siesta con serenata incluida para mi mamá 🤭🤭 #siesta #serenatasorpresa #fatherandson #naptime #familia

Marilyn Ramirez | Mom life💙
Marilyn Ramirez | Mom life💙
Open In TikTok:
Region: US
Monday 14 September 2026 17:05:16 GMT
2152
38
2
2

Music

Download

Comments

maria_camila640
🦋 :
Duermen igulitoooo
2026-09-14 21:26:24
1
lopez_23120
Rosa :
😂😂😂
2026-09-17 02:18:15
0
To see more videos from user @lamamademiliano, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Serikali ya Mkoa wa Dodoma imeanza mchakato wa kutathmini madhara yaliyosababishwa na moto ulioteketeza sehemu ya Soko la Machinga, huku kila mfanyabiashara aliyeathirika akitarajiwa kupata msaada wa Shilingi 500,000 kutoka Serikalini. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Staki Senyamule, amesema Serikali imeandaa utaratibu wa kufanya tathmini ya kina ili kubaini ukubwa wa hasara zilizopatikana na kuhakikisha waathirika wanatambuliwa na kusaidiwa ipasavyo. Amesema timu maalum ya uchunguzi itaundwa kwa kushirikisha wawakilishi wa wafanyabiashara walioathirika, hatua inayolenga kuhakikisha zoezi hilo linafanyika kwa uwazi na kwa kuzingatia madhara halisi yaliyotokana na tukio hilo. Timu hiyo itakusanya taarifa mbalimbali kuhusu biashara, mali na bidhaa zilizoteketea, ili kupata takwimu sahihi zitakazosaidia Serikali na wadau wengine kupanga hatua za kurejesha hali ya wafanyabiashara hao. Aidha, Mhe. Senyamule amezitaka taasisi mbalimbali, mashirika, wafanyabiashara na wadau wengine kujitokeza na kuchangia juhudi za kuwasaidia waathirika, akieleza kuwa madhara yaliyotokana na moto huo yanahitaji ushirikiano wa wadau wengi. Wafanyabiashara walioathirika wametakiwa kutoa taarifa sahihi na kushirikiana kikamilifu na timu ya tathmini, ili kuhakikisha kila mhanga anatambuliwa na kunufaika na hatua za msaada zinazochukuliwa na Serikali pamoja na wadau. #Pakua App ya #OpenMedia playstore kusikiliza #DoubleORadio na kutazama  #OpenMTV au kupitia tovuti #openmedia.co.tz, Kwa Matukio, Habari na Matangazo wasiliana nasi 0677107271 au 0677107273.

About