watching from Kenya bro . keep educating our community..
2026-09-15 19:38:44
0
Losi Tz :
@baraka david. god bless you to replay our comments💯 🙏🙏
2026-09-15 18:37:26
0
paschalpaschaljus :
order fm
2026-09-15 16:56:16
0
Brother Dominion :
1993, 1998
2026-09-15 16:25:04
1
SAMBEKE MWENYEWE :
me nakumbuka hiyo ya mwaka 1950 ilikua so poa lepalai
2026-09-14 21:08:41
5
young boy pablo :
baba nimekuskiliza nikiwa mdogo sana leo ndo nakuona😂😂😂
2026-09-15 14:51:29
3
Lemako01 :
hio ya 1950 ilibeba hadi ngombe zangu ndio maana sina sai
2026-09-15 15:25:17
2
Lazaro lazier 255 :
Leo nimekuona nakusikiaga tu kwa redio
2026-09-15 16:35:14
2
Elias Mo :
mbona hamkumbuki Elnino ya 2024 ama ilikuwa ndogo??
2026-09-15 06:48:02
3
Julius Oleseki :
kwahiyo hii mwaka ni mkubwa sana
2026-09-15 14:48:09
1
KEKA MATHEMATICS :
sio kweli mvua za El nino zimekua zikinyesha hapa karibuni lkn Tofauti ni magnitude Kwa sababu mvua hizi zinasababishwa na rise of oceanic temperature 1980 ndo ilikua mvua kubwa kufuatiwa na 1998 ,2002,2016,2024 sema ya 2024 ni ndogo ikiwa na 2.2 degree cent na hii ya 2026 ni 2.4 Tofauti na 2.6 ya 1980 kulingana na Mamlaka ya hali ya hewa
2026-09-15 07:44:20
4
Jenny Ngulele :
huo mwaka ungetuambia kwa kiswahil jaman
2026-09-15 07:34:18
1
lowasakivuyo001 :
kesipa 🥰
2026-09-15 16:37:14
2
Laitetei Lesasi :
me najua Ile mwaka ya kutairiwa irkoringa 1998 mvua kubwa sana
2026-09-15 02:24:00
5
petro paulo :
naikumbuka ya mwaka 1998
2026-09-15 06:31:47
1
John :
jamani kwaiyo nilini iyo mvua
2026-09-15 05:11:50
1
Meing'ati junior :
Esipa oleng olasirani,loolomon👍👍
2026-09-15 11:32:41
1
ISSAYA :
baraka devdi ole maika je mekure dooshi atum ina redion orkoneirei
2026-09-15 09:38:09
0
Mussa Nairowa :
nakumbuka sana 2030
2026-09-15 00:35:47
4
🌹godmercy🙏 :
uwii me ndo sijawahi kuona mvua kubwa hat tangu nizaliwe labda mwakajan🙆
2026-09-15 05:18:18
1
PETER OLE PARASOY :
2023 ndo nakumbuka
2026-09-15 08:45:07
0
Black Pearl :
hii natamani kuitembelea ck moja
2026-09-15 01:09:27
1
Lakinane Muna9 :
Mungu atunusuru kwa majanga ya dunia
2026-09-15 03:24:41
1
To see more videos from user @orkonereifmradio, please go to the Tikwm
homepage.