@costantinopius8: BAUNSA WA YANGA ALILIPIZA KISASI KWA KUMPIGA NGUMI NZITO KOCHA WA GABORONI KUMBE YEYE NDIO ALIYEANZA . NILIONA TUKIO LOTE KWA KARIBU SANA . TAARIFA ZAIDI TUMEKUWEKEA YOUTUBE COSTA TV
mi mwenyew nd nashangaa kwann story ianzie kat wakat m video ninazo
2026-09-15 04:36:45
1
cheka uchelewe :
asante mzee kwa hiyo simulizi
2026-09-14 20:08:29
4
user10121796523042 :
KKK 0ljjp
2026-09-14 21:47:04
2
INNOCENT :
atuna wachambuzi nimashabiki
2026-09-14 21:00:36
3
monica_boutiqueTZ :
hatariiiiiiiii tunamshukuru Mungu tumelivuka hilo
2026-09-14 19:59:21
2
nyiro :
shukrani kaka kwakutupa habari kamili
2026-09-15 05:16:46
1
miss sophia :
yes
2026-09-14 19:12:44
1
Mkali Ukwaju :
fact
2026-09-14 18:44:47
2
francymwageni :
na ndio mama kocha amesema walio washauli wamefungwa kama wao
2026-09-15 05:40:32
1
Tamla Modaizo :
shida waandish wetu wanamapenz namihemko
2026-09-14 20:03:29
1
Jon Mbwambo :
kweli anachosema
2026-09-15 09:03:00
0
Na Afya :
Mambo Hayo yalifanyika wapi, hapa Tanzania Au Botwiswana?
2026-09-15 06:06:13
0
marahadaudi :
Timu za Tanzania zikifanyiwa vitendo kama hivyo huko kwa mataifa mengine wachambuzi wetu husema Hivo ndivo match za kimataifa zinachezwaga nje ya uwanja🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣lkn Cha ajabu Leo wametubadilika na kuona tumefanya vitu vya hovyoooooooo🤣🤣🤣🤣☺️🤣🤣 NASHINDWA KUELEWAAAAAAA
2026-09-15 10:56:46
0
stev a.k.a laluboy :
umeongea sahihi wote tulio kua uwanjan tukio zima tumeliona ugomv ulidumu zaid ya dk10 kwann wao wanaangalia kipande cha sekunde
2026-09-15 06:59:25
0
Mustapha :
Sas tutaamin vp hvyo ambavyo ha2jaona 2livyoviona ndo 2navibeba
2026-09-14 21:54:49
3
Baba gg :
leta ushahidi acha stor
2026-09-14 21:40:13
2
Vladimir zeleskyy :
wengine walikuepo ila ni wanachuki na yanga
2026-09-14 20:08:10
2
BABU :
kazi ya mikia
2026-09-14 20:18:22
2
Igweofficial :
mbona kama unajitetea
2026-09-15 04:31:28
1
khamisjabu506 :
tuonyeshe picha na wewe wacha story ikiwa nyiye hamuamini hicho kabisa
2026-09-15 15:23:56
0
masudykipanya800 :
kajinoma
2026-09-15 07:02:38
0
Joseph Joram :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-15 01:22:43
2
To see more videos from user @costantinopius8, please go to the Tikwm
homepage.