@amisimbk1: 😄😄😄🙏

Amisi Mbk1
Amisi Mbk1
Open In TikTok:
Region: US
Monday 14 September 2026 17:54:06 GMT
15726
851
46
31

Music

Download

Comments

emmysanga585
Emmy Sanga :
hi Dunia kunasehemu imetoboka
2026-09-14 18:36:21
6
dayana63380
Dayana🥰🥰 :
Watu tuna taman kupata ndoa alafu mnapata mnachezea
2026-09-15 06:53:01
1
janeth4897
janeth :
Mkoja umekubana mara hii tu 🤣🤣🤣😂😂😂😁😁😁
2026-09-14 18:24:59
0
fatumashaban652
Fatuma Shaban :
mwenyezi mungu anasema muishi nao Kwa taazali
2026-09-14 19:42:23
0
misherybby00
misherybbyoo :
hatimae ameamini sasa ndio nilichokuwa nakitaka🤣🤣🤣🤣
2026-09-14 18:39:32
1
angelitha703
angelitha :
Kaka amechizika 😂😂😂😂😂😂
2026-09-15 09:30:40
0
user4929454513865
KÏNG VØN :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti naenda kukojowa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 17:50:14
0
papi.willy65
Papi willy🖤 :
huyu dada ni pepo daah
2026-09-15 07:42:45
0
user28253221481304
aisha athuman :
nyiy huyo kaka anaumiya sana
2026-09-14 20:05:27
0
pendo2867
pendo2867 :
njoo unioe kijana mzuri weee🥰
2026-09-14 20:26:55
1
razia.yusufu
women of principles :
arafu mama mzuri sana anamzidi Maya walkah
2026-09-15 03:50:07
0
husnaally6706
husna Ally :
mwanaume aliongea mpaka kizanzibar
2026-09-14 19:51:04
0
user1169884062810
sarahmanyilizu :
kweli kaka huna mke hapo
2026-09-15 02:42:52
0
user7839739476984
Azey baby :
Heeeeee atar
2026-09-15 05:41:38
0
julianamgiliya
julianamgiliya :
daaah dada 😭😭😭
2026-09-15 06:49:26
0
user68058394114290
user68058394114290 :
Uyo aliekuwa singo aje kunioa mimi jamani
2026-09-15 07:37:08
0
njombedesigner
njombedesigner :
jamaa alimtetea sana mke wake haya sasa
2026-09-14 18:19:32
0
angelitha703
angelitha :
Hapo Ndio nilipataka
2026-09-15 09:30:18
0
agneskitara
masogange💞 :
jamani
2026-09-14 19:29:21
0
jenipha.kitali
Jenipha Kitali :
niowe mm 😳😳😳😳
2026-09-14 18:55:52
0
azmina11malika
azmina11malika :
ml single 😂😂😂😂
2026-09-16 00:16:12
0
mgt2295
Mgt :
Mmh
2026-09-14 19:11:34
0
user2711296880069
user2711296880069 :
hivi haya mambo ni kweli jaman
2026-09-15 09:31:56
0
angeline.mpuna
Angeline Mpuna :
mambo yanazidi kutisha Kila iitwayo leo
2026-09-14 18:37:29
0
To see more videos from user @amisimbk1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About