@norahs_cosmetics: Mzazi tupeane tu elimu ndog ndog za watoto hasa hawa wa kiume aiseeee ni kuomba san na kuongea nao dunia imevaa kaptul skuiz mhhj #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #fypシ゚viral #fypage

Norah Temba
Norah Temba
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 19:31:47 GMT
85667
4030
314
941

Music

Download

Comments

musomakaribu
Prisca :
Na kuna Mimi ni mzazi namuonea aibu mtoto wangu 😂😂
2026-09-14 20:40:00
104
user87687204104416
@faa📸 :
hadi huruma yaan saiv ata kuzaa mtoto wa kiume unaogopa
2026-09-14 21:03:45
76
faranceeeee
Hatun👸🏼 :
Huyu ni mm kabisa👌🏻safi sana mwanamke mwenzng🥰
2026-09-14 21:03:04
87
mrsbee2004
MR'S BEE :
joshua mbona kama hapend hili darasa 😂😂😂 anaona aibu akisikia sir
2026-09-14 20:41:09
28
user3179149171810
siana :
that's great mamaaa I apriciate
2026-09-15 00:44:51
0
mamanoel98
dem wa Man U :
mm kama single mom ata sijui how to tell my son these 🥺🥺🥺🥺
2026-09-14 22:43:39
0
_fkgroup
FK GROUP :
I’m saving this for my future son🙏
2026-09-14 21:06:16
11
arnoldshirima3
Nongi Chagga 0G :
Good education very nice madam🥰
2026-09-14 22:27:34
0
phine12341
phine ❤️ :
hongera sana
2026-09-14 22:20:38
0
penny64800
penny :
mtu aliply hii comment yangu jmn hili kesho nirudi hapa nimuoneshe mwanangu
2026-09-14 21:43:51
9
lulu.kamaghe
Last born :
fundishen watot jmn
2026-09-14 21:25:15
9
zenakomba1gmail.c
mama p :
nikiamka salama, namuoneaha kijana wngu hii vdeo asante. hi. ndio vtu tunatk kuvion mitandaon❤️🤲good momy
2026-09-14 20:47:32
16
tunug76
Lioness🦁 :
😅😅😅😅 Mama boys umewezaaa❤️❤️❤️
2026-09-14 20:59:03
5
fatma.hassan496
Timah🦋❣️ :
Proud mama🥰
2026-09-14 20:28:22
0
ally_printing
Ally_printing :
safi sana mama
2026-09-14 20:57:32
5
rose688185
Rose :
bora unawafundisha jmn
2026-09-14 20:02:47
17
monica.alex576
Fina mkweli🙎‍♀️❤️ :
Mbona umefungia hii video jmn ingetusaidia nasisi kwa ujumla
2026-09-14 21:19:54
7
cassanova6726
cassano :
hongera mama bora
2026-09-14 21:28:30
7
iam_sarayah
rayahcakes🎀 :
“Hapo ndio pana maisha yenu “Amina, well done mama boys Mungu awatunze 😍
2026-09-14 21:32:54
8
feytheone
Official feyone :
vijana wako ni mahandsome jmniiiii umefanya la maana wajitunze kbc
2026-09-14 21:14:16
8
smart_ryn
Smart_ryn :
👏👏👏Big up Mama
2026-09-14 20:13:48
9
salma_bungile
Business coach :
Wakweli ni MUHIMU kuwaambia
2026-09-14 20:28:41
11
jackline123otjay
jackline123otjay :
Mungu akutunzie vijana wako🙏🏻
2026-09-14 20:55:23
5
marium4384
Ummy Haitham❤️ :
wakwangu wa kike miaka mitano lkn kila siku naongea nae. yan ata kuitwa na mtu usie mjua usikubali kataa , usikubali mtu akuambie vua chupi, na pia usiombe ela kwa mtu usie mjua. nyiee uzazi wa kizazi hiki wazazi tuna kazi.
2026-09-14 21:34:36
5
vonney_1
🦋Vonney Trends22♍️ :
@🦋Vonney Trends22♍️: Me juzi katok likizo nikamuita chumbni nikaanza mkagua sehem zake za siri nikaanza kumuulza kuna mtu kakushika akasem hpna mama maan huwa namwambia ukishikwa huko mm nakufa n nikifa si unajua mm nkupend si utalia eeeh anaitikia namwambia kbsaa ukiwa shule mtu akikushika mwambie mwalimu ukiwa kwa bibi mwambie bibi ukiwa nyumbni niambie mm yaani ni mdogo lkn ananielewaa kbsa wazazi tukumbuke kuwakagua watoto pia kuwatishia kuhus sehem zao za siri me nitamkagua n kumkumbushia mpk ajielewe huko🙏
2026-09-14 22:01:51
4
To see more videos from user @norahs_cosmetics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About