@simonhelpingfoundation_: Mch Dkt. Seth Sululu akitoa mhadhara kuhusu utaratibu wa kiibada mbele ya wajumbe wa Mkutano wa 6 wa Wachungaji kutoka Dayosisi za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania hapa katika ukumbi wa Mikutano wa Chimwaga hapa Jijini Dodoma. Leo Septemba 14, 2026 ni siku ya pili ya Mkutano huu ambao unatarajiwa kutamatika Septemba 17.#wachungajikkkt2026 #videoviral #PARADISO_SHUNU #viraltiktok #trendingvideo
Nimemuona Mchungaji wa Dayosisi yang anasinzia jamn 😂😂😂
2026-09-15 10:12:08
4
bingo_auto_store :
Mdo 2:4 SUV
[4] Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
2026-09-15 11:22:40
6
Marijani Kizigha :
Nguvu ya uamsho ni kubwa sana haitaweza zuiliwa na dini
majira yametimia
2026-09-15 09:08:16
6
manka0202 :
Tunatamani kanisa letu ibada iwe na kipengele cha kusifu na kuabudu.
2026-09-15 08:31:10
7
Weriweri :
Nakubaliana na maoni haya. Lutheran imepoteza kabisa ule Lutheran halisi, zipo baadhi ya sharika zinaendeleza na zinatembea na misingi ya Lutheran.
2026-09-15 05:16:10
11
shalua fx :
kkkt this tyme watu wengi wanahama makanisa because mifumo kama hiyo kwann umzuie Roho Mtakatifu
haki mi siwezi tulia lazma niombe kwajir ya mambo yangu
2026-09-15 05:15:07
3
Darlesi :
Waluteli sikilizeni hoja hiyo. kusali kwa pamoja ni kelele tu.
2026-09-15 05:51:10
4
Elizabeth Joel :
kuomba ni kuomba tu kwani roh mtakatifu alivyoshuka ilikuaje acheni kupotosha watu ikifika saaa ya kuomba kila aombe kwa kinywa chake bana
2026-09-15 08:20:32
3
DR.MLAY(VETERINARY 💉🐂🐐) :
afadhali maana tulikuwa tunatoka katika hali ya ULUTHERI na kwenda kwenye taratibu za madhehebu mengine
2026-09-15 16:24:57
1
mulisa :
Roho za dini zinazomzuia roho mtakatifu kwan kuomba wote kwani inaharibu nini kwan hayo mandiko mnatoa wapi kwan siku ya pentekosti siwaliomba wote
2026-09-15 08:44:34
2
Jimisha Bhachilu :
fact
2026-09-15 15:13:33
1
lilianlema881chagoli :
Turudishieni Ulutheri wetu wa Ibada yenye uchaji na utulivu. 🙏🙏🙏
2026-09-15 09:34:45
2
user4834865048111 :
Mwalimu Wangu Dr sululu Mzee wa kupasha jengo Moto.
2026-09-15 12:15:31
1
Haika Materu 🥰 :
yaaan umesahau n matangazo ibada inakuwa ya matangazo alafu kila siku wimbo n mmoja hata ndim yaan nyimbo z kkkt tunaimba 3 mwaka mzima
2026-09-15 09:40:35
1
ummymeahack :
wachungaji wafuate litrujia na co kujiwekea ibada binafsi hii ndio ina vuruga , utaratibu wa kanisa.
2026-09-15 10:34:47
1
SILAS :
Duu kila mmoja ana haki kwenda mbele za Mungu nitakuaje kiroho nimenyamaza ibada nzima
2026-09-15 10:07:26
1
Elizabeth Joel :
jmn acheni kutupotosha bana
2026-09-15 08:21:19
3
am14578 :
kwenye ibada toka enzi za mitume iligawanyika sehemu mbili ya kuomba na kuombewa
Eneo la kuombewa ni mtu mmoja anaombea wengine huku wengine wakiwa kimya
ukisema tuombe hata kwenye liturujia kila mtu anaomba iwe sala ya Baba yetu nk kwenye tuombe ni sehemu huria kama liturjia haitumiki ruksa kila mtu kuomba kivyake kuanzia mchungaji hadi washirika
kuombea mfano ni pale unamalizia ibada kusema Mungu akubarikie na kukulinda nk pale mtu lazima akae kimya sababu anaombewa
2026-09-15 02:17:20
2
Marry Nassary :
Mungu atusaidie sana jmn
2026-09-15 17:10:27
0
JM :
hizi ni nyakati za uamsho lotutinia haina nguvu zaidi ya Roho wa kanisa
2026-09-15 18:35:00
0
JM :
mzee huwezi kumnyamazisha Roho ashukapo. hiki soyo kile. kipind tha aold testament kwa Roho wa Bwana alikaa juu ya makuhani tu.
2026-09-15 18:34:24
1
Mwinji. Bahati Mgao :
Pole mtumishi,
2026-09-15 17:19:14
0
Happy Jackson :
Kelele hadi majirani wanasindwa kusokilozana ndani losa drums na speaker za sauti za juu tuwaombe.wasali.na kuhubiri kwa sauti ya chini
2026-09-15 19:26:38
0
myro :
sijajua kama nakowea ila kunawakat unatamani kuzungumza na Mungu saa unaposema ibada ya pamoja kuna kunyongonyea kwa roho ndani yetu Mungu atupe hekima katika hiro
2026-09-15 19:43:45
0
To see more videos from user @simonhelpingfoundation_, please go to the Tikwm
homepage.